itv

ITV - Independent Television Limited (ITV) ni kampuni shirikishi ya IPP Limited. ITV ilianza shughuli zake mwaka 1994 ikiwa na kituo kimoja cha televisheni na kituo kimoja cha redio ambacho ni ITV na Radio One.

Mwaka 2009 kampuni ilizindua kituo kingine cha Capital Television na Capital Radio.
  1. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Kwanini TBC haituhabarishi kesi ya Mbowe na wenzake?

    Wadau wote tunajua TBC ni televisheni ya serikali Watanzania wote kodi zao pamoja na kodi za Mbowe na wenzake zinatumiwa na TBC. TBC imekuwa inatangaza kesi mbalimbali lakini toka mahakama ya uhujumu uchumi ianze kusikiliza kesi ya Mh. Mbowe na wenzake hakuna hata siku TBC imeripoti juu ya...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Ni aibu sana kuruhusu jambazi kutawala nchi yetu

    My Take 1 Sirro anapenda sana kuita-ita neno gaidi. Naona anarahisisha sana mziki wa magaidi. My Take 2 Sirro kama hawezi kuondoka mwenyewe aondolewe kwa nguvu. Kashfa ya askari wake kufanya ujambazi haisafishiki ====== Kamanda Sirro: Ni viongozi ambao tunawategemea kwenda kuwasaidia...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi Emmanuel Chacha wa ITV afariki dunia. Amefariki ghafla akiwa jijini Mwanza

    Aliyekuwa mwandishi mwandamizi wa kituo cha ITV na Radio One, Emmanuel Chacha amefariki dunia jioni ya leo Februari 10, 2022 akiwa jijini Mwanza. Chacha alianguka ghafla ambapo amefariki akiwa njiani akipelekwa hospitali.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naziona dalili zote kwamba Mbowe na wenzake wanatoka Gerezani

    Awali tuliona nguvu kubwa inatumika kudhibiti Watu wasiingie mahakamani. Tukashuhudia Majaji wakitoa hukumu zilizo kinyume kabisa na mwenendo wa kesi na baada ya kutoa hukumu hizo wakapandishwa vyeo Switch za ukutani tukaambiwa zimeharibiwa kudhibiti umeme usipatikane Tukashuhudia ubunifu wa...
  5. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania ITV badilikeni

    Habari kama hii hata uwena degree kutoka Jalalani University huwezi kuielewa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa ITV na Radio One Farhia Middle umepewa Shilingi ngapi kwa Sifa ulizompa leo Waziri wa Maji Aweso?

    Yaani Dada yangu Farhia Middle hivi Waziri wa Maji Awesso kuwa 'Field' kuangalia Changamoto za upatikanaji wa Maji Mkoani Dar es Salaam ndiyo hadi Umsifu mpaka utake hata Kumkufuru Mwenyezi Mungu katika Kipindi chenu Kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha leo ukiwa na Pacha wako Aboubakary Sadick...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Pius Msekwa: Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile

    Kutokana na Spika Mstaafu kueleza kuwa Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile. Kwa vile bungeni kuna wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wanaoharibu pesa za wavuja jasho kwa kulindwa na mtu mmoja, napendekeza Spika ashitakiwe hata kwenye Mahakama ya...
  8. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ITV wamekata speech ya Mnyika?

    Nimejiuliza maswali sijapata majibu. Ado Shaibu kaongea bila interaction yoyote . Ni kongamano la utu lililoandaliwa na NCCR. Sijapenda
  9. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Hivi kwann itv

    Nimejiuliza maswali sijapata majibu. Ado Sha kaongea bila interaction yoyote . Ni kongamano la utu lililoandaliwa na nccr. Sijapenda
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Lindi: Wakulima wa korosho wagoma kuuza bei ya hasara, Mkuu wa mkoa wasaidie Hawa wakulima

    LEOO NIMEANGALIA WAKULIMA WANAVYOLIA LINDI KUSA M ADA KUJA NA BEI ZA HASARA KABISA KAKUMBUKA .MENGI SANA WANANCHI WA LINDI MMENUFURAHISHA SANA WALIPOFIKA MNADAN WAKAKUTA BEI ZA AJABU WALICHO FANYA N KUGOMA NA KUAIRISHA . MNADA DC NA MKUU WA MKOA NAJUA UNALIJUA HILI NAMANI KUONA UKITOA NENO...
  11. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa nyumba za Waalimu Igunga, Mbenge atia neno

    Tazama clip/video kuhusu Nyumba ya Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Maweni, Kata ya Nguvumoja Wilaya ya Igunga. Inadaiwa kuna ukosefu wa nyumba za Walimu katika shule ya msingi Maweni na kuwafanya walimu kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi shuleni.
  12. chivala

    JamiiForums Tanzania Kituo cha television ITV Tanzania, kweli ni Super Brand

    Wakuu, Nayasema haya, siyo kwa upendeleo bali ni ukweli mtupu hata ninyi mnaweza kuwa mashuhuda jinsi ITV inavyoripoti kutoka Mahakamani kwenye kesi ya Mheshimiwa Mbowe na wenzake. Kwenye taarifa zake za habari, ITV huweka wazi taarifa na mambo mbalimbali bila woga wala upendeleo. Hii...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mmegundua nini kuhusu ITV?

    Nitaeleza kutoka hivi karibuni kurudi nyuma! 1. Siku hizi wanaripoti kweli kweli habari zihusuzo 'kuijenga' serikali. Natumia mfano wa leo kwanza; ‐ wameripoti 'kikamilifu' tukio la machinga aliyefariki wakati wa kuokoa mali zake. Mwandishi alitembea kweli kweli kufuatilia suala hilo huku...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwandishi William Ngazija wa ITV akamatwa na Polisi mkoani Tanga

    Taarifa zinaeleza kwamba Mwandishi huyo anayeripotia ITV kutokea Mkoa wa Tanga , amekamatwa na Polisi wa Korogwe na kulundikwa Sero kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo , Ambaye pia ni Mlimbwende wa Tanzania wa miaka iliyopita Mtukufu Basila Mwanukuzi . Bado haijafahamika kosa lake Chanzo : Kitenge TV
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kisimbuzi Cha startimes kinaniambia niingize dekod pin kwenye channel ya ITV. He dkoda pin number ipi

    Leo dekoda imenambia hivyo.. cjui tatizo Nini hebu nitatulieni
  17. CUF-WILAYA YA KINONDONI

    JamiiForums Tanzania Abdul Kambaya kuunguruma kipindi cha Malumbano ya Hoja Julai 1, 2021

    MALUMBANO YA HOJA KESHO ALHAMISI BINGWA WA KUJENGA HOJA NCHINI PIA NI MJUMBE WA BARAZA KUU LA CUF TAIFA, MHE. ABDUL KAMBAYA ATAKUWA KATIKA KIPINDI CHA MALUMBANO YA HOJA KATIKA TELEVISION YA ITV SAA 3:00 USIKU KESHO SIKU YA ALHAMIS USIKOSE KUFATILIA
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Farhia Middle wa Radio One amehuzunika sana Abdallah Mwaipaya kuwa DC

    Kuna Kipindi nakumbuka ( nikiwa kama Msikilizaji Balozi na Mwandamizi wa Kipindi chao nikipendacho cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kila Jumapili Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili Asubuhi ) aliwahi 'Kufiwa' na Dada yake tena wa toka nitoke ila wala hakuwa katika Majonzi na alisahau...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliomuona 'Mkwere Original' akilia ITV kwa Msiba wa Mzee 'Matata' mniambie je, alikuwa akilia kweli au ameigiza tu?

    Mkwere Original tunaomjua na Kumuangalia mara kwa mara hata nje ya Kuigiza na kukutana nae mara kadhaa huko Mitaa ya Kwake Mbezi ya Bonyokwa Yeye kila Kitu tu hukifanyia ' Komedi ' na ni lazima utacheka mno. Nimetoka kuona Kipande cha Taarifa ya Habari ITV muda si mrefu akihojiwa Kuhusiana na...
  20. maroon7

    JamiiForums Tanzania Traffic lights kona ya ITV zimeongeza jam

    Yaani badala ya kusaidia kupunguza jam hizi taa hapa ITV junction zimeongeza kero aisee sijui nini wataalam wetu wameshindwa kutatua. Kwanini hata wasingewaza magari ya kutokea upande wa ITV yanayoelekea mwenge yakazungukie bamaga? Na Yanayotoka bamaga kuingia Mikocheni yakaingilie mwenge? Mbona...
Back
Top Bottom