Nimejaribu kuipitia pitia biblia na kusikiliza sikiliza mahubiri ya wahubiri wetu hawa
Nimegundua kitu,shetani eiza ni mjanja sana ama amezungukwa na team ya wajanja sana maana kwa jinsi dunia ilivyo sasa huwezi kuishi bila angalau kudokoa chochote kitu kutoka kwa huyu kiumbe shetani
Hebu fikiria watoto wa nabii fulani wanasoma shule fulani ambayo kwenye mtaala wake wa history wameandika bila aibu kuwa binadamu tunayemuona sasa zamani alikuwa ni sokwe
Fikiri tena ile zahanati anayotibiwa mchungaji fulani ilijengwa kutokana na kodi ya bia & vileo vikali
Naona mbele yangu kuna ustadh mmoja anapita amevaa jezi ya simba yenye tangazo la sportpesa, hivi kamali sio dhambi kweli
Shikamoo shetani aliyekuumba alikuwa fundi kwelikweli sasa kama wewe uko hivi sijui aliekuumba ana akili kiasi gani
Mungu fundi