Ipi tiba ya tumbo kuwa kubwa baada ya uzazi?

Mtanzatozo

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
972
1,163
Habari wana ndugu kwa ujumla, natumaini wote hamjambo na mnaendelea shughuli zenu za kila siku! Naomba kujua tiba, ushauri au maelezo yakinifu kuhusu mwanamke aliyetoka kujifungua na tumbo lake likabaki kama awali ya ujauzito au kupungua kidogo tuu!šŸ¤¤
 
Tumbo limeshawapa nafasi kwaajili ya mimba za baadae tulieni acheni ukihelehele
 
Kwa kawaida mtu akitoka kujifungua tumbo huwa linabaki kubwa tu hadi baada ya miezi kadhaa ndio linaanza kupungua. Huwa linapu guard taratibu, lakin kwa wale waliowahi kujifungua huwa linafungwa. Kabla ya kula kitu chochote kwa angalau siku 14 za mwanzo, kipindi ambacho unakuwa unakula vyakula vya maji maji tu kama uji, supu na mtori. Ukishaanza kula vyakula vizito hata ukifunga halipungui tena

Wengine wanatumia dawa za mchina kupunguza tumbo, na engine mitishamba. Ila mimi nilifunga tu kwa week mbili na sasa hivi niko na flat tummy kama sijawahi zaa.
 
Habari wana ndugu kwa ujumla, natumaini wote hamjambo na mnaendelea shughuli zenu za kila siku! Naomba kujua tiba, ushauri au maelezo yakinifu kuhusu mwanamke aliyetoka kujifungua na tumbo lake likabaki kama awali ya ujauzito au kupungua kidogo tuu!šŸ¤¤
Jichunge na mavyakula vyakula, kisisio, mtori, etc. Halafu acha kukamua maziwa kama ng'ombe
 
Kwa kawaida mtu akitoka kujifungua tumbo huwa linabaki kubwa tu hadi baada ya miezi kadhaa ndio linaanza kupungua. Huwa linapu guard taratibu, lakin kwa wale waliowahi kujifungua huwa linafungwa. Kabla ya kula kitu chochote kwa angalau siku 14 za mwanzo, kipindi ambacho unakuwa unakula vyakula vya maji maji tu kama uji, supu na mtori. Ukishaanza kula vyakula vizito hata ukifunga halipungui tena

Wengine wanatumia dawa za mchina kupunguza tumbo, na engine mitishamba. Ila mimi nilifunga tu kwa week mbili na sasa hivi niko na flat tummy kama sijawahi zaa.
Nampongeza maana mimi huchukia matumbo / vitambi vya akinamama wakisingizia uzazi! Huwa nawauliza mbona Zari kazaa watoto 5 lakini hana mtumbo? Ni kula kula ovyo ovyo tu.
 
kweli kabisa ndugu inawezkna.!
 
Back
Top Bottom