Waungwana naombeni mnisaidie, je ni ipi njia bora ya kuanza ujenzi wa nyumba endapo tayari una kiwanja kati ya hzi zifuatazo:
1. Kumtafta surveyor wa ku survey eneo la kiwanja na ku design nyumba kulingana na eneo lilivo, na gharama za kumlipa huyo surveyor zipoje
au
2. Kununua ramani ya nyumba na kumtafta fundi ujenzi aanze ujenzi kweny eneo ulilojenga
Naomben ushauri wenu kwenye hili maana nna kiwanja tayari nataka nianze ujenzi January mwaka mungu akipenda