internet

  1. Architect E.M

    Aibu kubwa Airtel Arusha Internet haina 4G

    Yaani Airtel ni kero kweli. Mtandao mkubwa namna hii mji mzima internet iko 2G? Hata hapa napost kwa shida. Kupiga huduma kwa wateja, ni mlolongo wa maelezo recorded na huwezi kupata direct access ya mtoa huduma. Ni kero juu ya kero. Kama mmeshindwa kazi semeni tuhame.
  2. sky soldier

    Najihisi nimekuwa mraibu, Wangapi mmeweza kutumia smartphone / laptop siku nzima bila kutumia internet ?

    Tangu mwaka huu uanze sikumbuki siku ambayo nilikuwa offline, Nina biashara zangu na kazi sio kwamba nipo idle. Yani uwe na smartphone halafu ukose data waweza kuhisi unakosa mahitaji ya msingi, ukifika hii stage jijue ushaanza kuwa mraibu. Matumizi ya data napenda kuingia Youtube kufatilia...
  3. F

    Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

    Habari Wadau. Naona watu wengi wanalalamika bando zinaisha haraka. Nawashauri wafunge unlimited internet nyumbani. Ni cheap sana kulinganisha na kununua bando. Nyumbani mfano mnaishi watu watano wenye smart phone. Internet unlimited ya elfu 70 kwa mwezi inawatosha kila mtu kuenjoy kwenye...
  4. M

    Postpaid internet connection kwa Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel

    Wakuu Salaam, Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri. Asante.
  5. Chizi Maarifa

    Hawa Internet Service provider kuna mchezo wanafanya!

    Mwezi mmoja na nusu ago, tulikuwa na speed nzuri mtu unashusha ma series na movies kibao tu kwa siku. Mimi ilikuwa inanimotisha nachapa kazi sana na sioni shida kutoka usiku saa 2 au 3 bila hata kujaza overtime. Lakini ghafla kwa sasa mtandao umekuwa wa kawaida sana mwezi wa 3 huu ....yaani...
  6. Masokotz

    Fahamu Kuhusu Internet Business

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama kabisa na harakati zenu za kujenga Uchumi binafsi na watanzania huku mkiendelea kupambana kupata mgao wenu wa Keki ya Taifa ambapo kwa wakazi wa Dar es Salaam wanapambana angalau wafikishe pato la Milioni 4.8 kwa mwaka na kwa...
  7. Ester505

    Msaada: Kwa anayeijua Internet Pesa je ni halali na salama?

    Nawasalimu, Naomba kwa wanaoijua hiyo Internet Pesa jamani waje. Kuna mtu anataka kuingia.
  8. Mhaya

    Tanzania tuna safari ndefu na ngumu sana chini ya CCM

    Wakati Tanzania tukiwa na mawazo ya KIJINGA kufikiria kukamata wanaotumia VPN kisa huduma ya internet bongo ni mbovu na TZ inazuia baadhi ya mitandao ya kijamii kupatikana nchini bila sababu za msingi. Wenzetu wanajenga vinu vya nyuklia kwaajili ya nishati ya umeme. Juzi kati serikali ya...
  9. Vincenzo Jr

    The Cost of Mobile Internet In Africa

  10. F

    Watoto wa kishua walisumbua sana Dar miaka ya 90s. Via Social media na internet watoto wa uswaz wamepindua meza

    Habari wadau. Nimekumbuka Dar ya miaka ya 90s. Vijana waliokuwa wanatamba mjini ni wale wa kishua. Watoto wa o bey, upanga, mikocheni ndio walikuwa habari ya mjini. Viwanja kama bills, slipway, mikadi beach, coco beach walikuwa wanatamba wao tu. Vijana maarufu ni wale washua wanaosoma...
  11. The Assassin

    Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

    Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia. Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink. Kumbuka Starlink inakupa internet ya 1 Terabyte kwa chini ya shilingi laki 1 kwa mwezi kwa kazi kubwa na ukimaliza hiyo...
  12. Not_James_bond

    StarLink internet ingekuwa msaada mkubwa kwa Tanzania

    Nchi nyingi zinaweza kuona faida katika kujiunga na mfumo wa Starlink kutokana na sababu kadhaa: 1. Kufikia maeneo ya mbali: Nchi nyingi zina maeneo ya vijijini au ya mbali ambayo hayajafikiwa na miundombinu ya intaneti ya ardhi. Kwa kujiunga na Starlink, nchi zinaweza kutoa huduma ya intaneti...
  13. OLS

    Watanzania walitumia takriban Tsh. bilioni 199.41 kwa ajili ya Internet mwezi Juni

    TCRA katika taarifa yao kuhusu ufafanuzi wa bei za data iliyotolewa Mei 9, 2022 ilionesha kuwa zaidi ya 95% ya watanzania hutumia data kwa kujiunga vifurushi vinavyotolewa na mitandao. Yaani watanzania hawatumii internet kabla ya kujiunga na kifurushi. Suala hili limenifanya niangalia kwa mwezi...
  14. Vincenzo Jr

    What Is Satellite Internet?

    Satellite internet is wireless internet beamed down from satellites orbiting the Earth. It’s a lot different from land-based internet services like cable or DSL, which transmit data through wires running underground. Since it’s the only internet service that’s available nationwide, satellite...
  15. covid 19

    ushauri kuhusu service provider mzuri wa internet - fiber

    habari wakuu naomba ushauri kazi zangu zinahusisha kwa kiasi fulani wateja kuwa na internet hivyo najikuta nalazimika kuwaunganisha wateja wangu na watu wa internet provider mara nyingi. nimepiga calculation zangu nimekuta nimeunganisha takriban wateja 16 ndani ya mwezi tu hawa wote...
  16. Next Elon Musk

    Pocket WiFi/Mifi kutoka Airtel

    OFA OFA OFA!!!!!! Jipatie Pocket WiFi kutoka Airtel inayo unganisha vifaa zaidi ya 10 na kasi Hadi Mbps 30, pia utapokea offer ya GB 20 mwaka mzima Vifurushi: ⚡Elfu 10 Gb 10.5 ⚡Elfu 20 Gb 22 ⚡Elfu 30 GB 35 ⚡Elfu 50 GB 75 ⚡Elfu 75 GB 100 ⚡Laki 1 GB 200 📞Mawasiliano 0742772122 ⚖️Vigezo na...
  17. Dr Matola PhD

    Wale tuliopigwa fix mbalimbali zamani wakati bado tupo zama za giza bila internet tukumbushane fix mbalimbali

    Kitambo hiyo zama za mwamba Mwalimu Nyerere Rais wa kwanza wa Tanzania Filling station zilikuwa na majina maalum kutoka nchi za mabeberu, SHELLY, CALTEX, AGIP, BP, ESSO, TOTAL, peke yake sio sasa hivi hata mimi naweza kuanzisha filling station yangu na nikaipa jina la mwendawazimu yeyote kati...
  18. R

    Serikali ina la kuwaambia wananchi juu ya kutokupatikana kwa mtandao kipindi cha Uchaguzi 2020?

    Mmoja wa washiriki kwenye Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2020 amerusha swali kwa wawasilishaji Mike Mushi na Ayoub Rioba pamoja na meza ya Mgeni Rasmi Waziri Nape Nnauye kwanini serikali haijatoa ufafanuzi juu ya kupotea kwa internet kipindi cha uchaguzi mwaka 2020 kama serikali hivi...
  19. Mchochezi

    Kwa mwezi unatumia bando la Internet la sh. ngapi?

    Mimi natumia GB 60 kwa sh. 50,000 tena kwa kujibana sana. Wewe unatumia bando la sh ngapi kwa mwezi? Tushirikishe
  20. thegreat1510

    I think I'm addicted to Internet usage

    Hello jf members. I spend about 97% percent in internet and when I'm offline I feel like I'm sick , I entirely live in an imagination world rather than in the reality. I consume a lot of money for buying data . I think I can't control myself from this situation, I need someone to help me.
Back
Top Bottom