internet

  1. M

    JamiiForums Tanzania Airtel internet ina tatizo gani? Siku nzima sipati internet kwenye simu yangu. Je, ni mimi tu ama na wengine pia?

    Habari wadau. Leo Airtel internet imenigomea kabisa. Je, ni simu yangu ndio ina shida ama wengi imewakuta hiyo hali ? Cha kushangaza simu hiyo hiyo nikiweka data line ya voda. Mtandao unafanya kazi vizuri
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tupo wapi na Internet?

    On Sunday, Tanzania was plunged into an internet abyss due to damage to a submarine cable deep within the Indian Ocean. This outage, which affected Tanzania and 11 other African nations, exposed a troubling truth: Tanzania’s internet infrastructure was a house of cards, precariously balanced on...
  3. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Wadau mbona kama mitandao ya simu kuna mgao wa Internet ila hawasemi,vipi wengine mmegundua hili jambo

    Maana kama jana Kuna muda Vodacom na halotel Internet ilikata Tigo ilikuwepo,usiku hivi Tigo ilikata nayo nahisi kuna jambo ambalo linaendelea ila wanaficha kwa kumuhofia Waziri Nape
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ewe Nape ukitaka kuvutia matumizi ya Simu janja weka Internet iwe bure siyo kuongeza kodi

    Nape huko vijijini vocha wanaweka mara moja kwa mwezi na wengine wanasubiri kupigiwa na ndugu zao wa mjini, nina uhakika hata kwenye jimbo lako wapo wengi wao. Usiongeze kodi kwenye vitochi hiyo smart ni kama kitochi bila Internet, kama kusudio ni kila mtu awe kwenye dunia ya kidijitali weka...
  5. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

    Serikali kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano imetoa ufafanuzi juu ya ujio wa Starlink ikidai kuwa haijakataa ujio wao bali inasubiri kampuni ya Starlink itimize masharti yaliyowekwa
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Huduma ya Internet imerejea kwa 94%

    Kwenye ukurasa wake wa X (Twiiter) Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndg. Nape Nnauye amesema huduma za internet zimerejea kwa 94% na sasa wanafanya jitihada huduma hiyo irejee kwa 100% "Kazi Inaendelea vizuri. Mpaka mchana wa leo Tarehe 15/5/2024, Huduma za Internet...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nani anawajibika kwa hasara iliyotokea kwa kukosekana kwa Internet?

    Salam wadau. Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini, watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo. Mtu anachojua ni kampuni ya simu tu voda, tigo, airtel nk. Hayo mambo ya mkongo unapita baharini hajui hilo...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tanzania kuwa na Satelaiti yake kama backup ya internet, Mkongo uliokatika kuchukua siku 7 zaidi kutengamaa

    Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku za baadae. Kuhusu mkongo uliokatika amesema bado una siku si chini ya saba mbele ili kutengemaa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa 'Internet' kuendelea ya kubahatisha miezi kadhaa ijayo

    Sasa tumepata kisingizio cha mkongo wa taifa kuharibika. Tutarajie hali hii kwa miezi kadhaa kama si miaka. Ila bei itazidi kupaa. **Ushuzi umepata mjambaji
  10. Amba Samedi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulikatikiwa internet juzi: kuna mambo machache ya kuelewa

    Habari wanajamvi, Leo nimepokea ujumbe kutoka Vodacom uwa internet nchini Tanzania imeanza kutangamaa. Juzi, tumekatikiwa mtandao. Najua watu kadhaa waliongeza bundle kwa hofu kuwa wameishiwa, kumbe kilichotokea kilikuwa nje ya uwezo wao. Leo, ntakupeleka, japo kwa ufupi, nyuma ya pazia...
  11. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na Fibre Cables, hiki ni kisababishi kingine cha ukosefu wa intaneti

    Picha: Internet Fibre Cable ndani ya bahari ya Hindi ambayo ilipelekea tatizo la internet ================= Umekuwa ukipata shida ya mtandao kwenye hizi siku mbili-tatu ndani ya hii weekend? Umejiuliza kwa nini na kulaumu sana mtandao wako? Usilaumu sana hili tatizo limesababishwa na...
  12. Kitombise

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

    Nyepesi nyepesi; Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa mtandao. Hivyo wamekubaliana kutoa GB 10 kwa kila mtumiaji wa mtandao kama kufidia hasara za bundle...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ndege zachelewesha safari kutokana na ukosefu wa Internet

    Mashirika kadhaa ya ndege yameathirika pakubwa kwa ukosefu wa internet. Kwenye Uwanja wa JNIA, KIA na Zanzibar ndege kama Emirates, Fly Dubai, KLM, Swiss na Air France zililazimika kuchelewa masaa zaidi ya 4 kutokana na kukosekana na internet. (Ndege kama Kenya Airways na Ethiopian wao walitumia...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya kukatika Internet nchi nzima alaumiwe Waziri Nape kwa kuikataa StarLink

    Waziri wa Habari na Mawasiliano, ndugu Nape Nnauye ndiye anapaswa kulaumiwa kwa kutokuwa na internet ya uhakika nchini kwani waziri huyu aliikataa kampuni ya Mmarekani tajiri zaidi duniani iitwayo StarLink ambayo ina satellite zaidi ya 10,000 angani. Kampuni hiyo iliyowasilisha maombi ya kutoa...
  15. covid 19

    JamiiForums Tanzania Serikali kupoteza mabilioni sababu ya tatizo la Internet

    Usipoziba ufa utajenga ukuta huu ni msemo wa wahenga ukiwa na maana kuwa mapuuza juu ya mambo madogomadogo upata taabu na hasara kubwa baadae. Mimi naamini dalili za hili tatizo zilikuwepo ila pengine wahusika walijisahau au kupotezea kwa makusudi haya tunayoyaona ni matokea ya mapuuza ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Naomba turuhusiwe kutumia VPN wakati wa hili janga la Internet

    Tangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi hiki kigumu maana sidhani kama tatizo hili litatatuliwa mapema. Kuna sites kadhaa natumia kwa kazi...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

    Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu tangu saa nne. Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink. NDUGU ZANGU TOA USHAURI USITUKANE ==== Pia soma: Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania
  18. G

    JamiiForums Tanzania Internet Outage: Unatumia mtandao gani wenye nafuu kwenye hili janga?

    Internet ipo slow sana lakini tunaweza kujuzana mitandao yenye nafuu. Hapa natumia halotel 4G, ipo slow kama kobe, Imenilazimu nizime picha kidogo kuna nafuu. Wewe unatumia mtandao gani, je, kuna nafuu? Pia soma: - Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani - Mitandao ya simu ipige faida ya...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TCRA: Kuna tatizo la Mfumo wa Mawasiliano ya Intaneti kwenye Mkongo wa Baharini

    Kama umekosa huduma ya intaneti kwa saa kadhaa leo, tambua shida sio kifaa unachotumia bali ni tatizo la kiufundi lililotokea kwenye miundombinu ya intaneti iliyopitishwa baharini. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk Jabir Bakari amelithibitisha hilo alipotafutwa na...
  20. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani

    Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau? ======= Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka...
Back
Top Bottom