What Is Satellite Internet?

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
12,137
25,384
Satellite internet is wireless internet beamed down from satellites orbiting the Earth. It’s a lot different from land-based internet services like cable or DSL, which transmit data through wires running underground. Since it’s the only internet service that’s available nationwide, satellite internet is a reliable way to get online for many rural homes and businesses, although it does still come with a few disadvantages (more on that later).

HughesNet and Viasat are the two primary residential satellite internet providers in the US. Starlink (from SpaceX) has recently become available, and Project Kuiper (from Amazon) will also offer satellite internet service.

If you’re looking for a mobile solution for a boat, truck, or RV, check out our guides to the best internet for RV and best internet for boats.

The best satellite internet providers
1.starlink $90.00–$250.00/ Data 1TB speed Up to 100Mbps Installation $599.00–$2,500.00

2.viasat $69.99–$299.99/mo. Data 25–500GB/ Installation free speed up 12–100 Mbps
Satellite internet uses a five-part relay system:

Internet-ready device
Modem/router
Satellite dish
Satellite in space
Network Operations Center (NOC)
 
Kwa mwezi ni elfu 70 alisema elon musk alafu Installation ni free ila kwa marekani ni usd 500
Rwanda $150......sawa 70k ...ila ni fixed itafaa office ndogo ndogo maana pia ni volume based inaishs kama kifurushi au unlimited ?? Speed ni ndogo sio kama 4G
 
Kwa mwezi ni elfu 70 alisema elon musk alafu Installation ni free ila kwa marekani ni usd 500

😀

Installation ni free na monthly package ni elfu 70 hahaha hebu futa haraka hiyo maneno...

Mfano Kenya kwa sasa wanalipa USD 46, so hata huduma zao zikifanikiwa kuanza Bongo bei haitakuwa mbali na hiyo (sijui mwaka gani maana wanabaniwa na akili mdogo CCM)
 
Kuna washenzi fulani wanaitwa Konnect nao wanatoa internet via SAT, installation kit yao eti ni 1.6 mil hivi TZS...

Halafu bundle ya bei chee ni 60k, with 20Mbps, guaranteed unlimited speed for first 5GB, then wanashusha hadi 1Mbps ukimaliza 5GB za mwanzo...jamaa wanachekesha kweli hawa
 
😀

Installation ni free na monthly package ni elfu 70 hahaha hebu futa haraka hiyo maneno...

Mfano Kenya kwa sasa wanalipa USD 46, so hata huduma zao zikifanikiwa kuanza Bongo bei haitakuwa mbali na hiyo (sijui mwaka gani maana wanabaniwa na akili mdogo CCM)
Kaka nimekosea hapo ni usd 70 hiv
 
Kuna washenzi fulani wanaitwa Konnect nao wanatoa internet via SAT, imstallation kit yao eti ni 1.6 mil hivi TZS...

Halafu bundle ya bei chee ni 60k, with 20Mbps, guaranteed unlimited speed for first 5GB, then wanakushisha hadi 1Mbps ukimaliza 5GB za mwanzo...jamaa wanachekesha kweli hawa
Hao ni kausha damu bora hata vodacom supakasi wako fresh sana
 
Back
Top Bottom