TCRA imesema watumiaji wa internet wapo 35M

jupiter001

Member
May 25, 2023
44
72
TCRA Wametoa report ya Q2 inaonyesha watumiaji wapo 35M wa internet.

Hii ni work force kubwa sana , na ni muda wa serikali kuwaza sasa kutengeneza ajira za mitandaoni nyingi sana.

Ukosefu wa ajira za kawaida na ongezeko la watumiaji wa internet inaleta picha ya ama serikali itengeneze ajira mtandaoni au watumiaji wageuke wezi wa mitandaoni.

1706026570017.png
 

Attachments

  • TCRA Communications Statistics for Q2 2023 - 2024_1705933797.pdf
    26.6 MB · Views: 1
Shida nchi hii matamko au data zitolewazo haziko reliable kabisa yaani. Upishi wa data umekuwa ni sehemu ya maisha
 
Basi kwa wingi huo wateremshe kodi kwa internet service providers ili bei ya bando / kifurushi ishuke sana.


Intaneti siyo anasa bali ni jukwaa la kujifunza kwa wanafunzi na hawa waliomaliza shule. Intaneti unajua bei ya mazao, vituo vya afya n.k n.k
 
Back
Top Bottom