india

  1. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania wawili wakamatwa India kwa usafirishaji wa kilo 1.5 ya dawa za kulevya

    Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye thamani ya kati ya milioni 80 hadi 100 ya India (Tsh Bil 2.4 mpaka Bil 3) kwa kuzificha ndani ya miili...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Afrika vs India

    Watu Afrika ina watu bilioni 1.39 wakati India ina watu 1.42 bilioni. Eneo Eneo la Afrika ni kilomita za mraba milioni 30.37 na eneo la India ni kilomita za mraba 3.28 milioni. Afrika ni kubwa kama mara 10 ya India. Uchumi, GDP nominal Uchumi wa Afrika ni dola trilioni 2.96 wakati ule wa...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini Urusi, China na India wameamua kuwa watazamaji mgogoro wa mashariki ya kati?

    Japo kinachoendelea kinaweza kuonekana kama tatizo la mashariki ya kati, ni tatizo la dunia. Kwanini Ukraine imegeuzwa na nchi za magharibi tatizo la dunia lakini si mashariki ya kati? Je, ni kwanini mataifa yanayoonekana kuwa na nguvu yameamua kukaa pembeni? Je yanangoja marekani ishindwe...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, watanzania wameudhika sana na Idadi/aina ya watu katika msafara wako India

    1. Abdul alikwenda kama nani? 2. Wasanii na wengine wa aina hiyo walikwenda kufanya nini? 3. Mawaziri lukuki wa nini? 4. Na wengine wengi ambao hawana tija katika safari hiyo Pesa zimepondeka kisawasawa HAPO HAPO TUNALIA 1. Maiti za watanzania zinazuiwa hospitali kwa ndugu kukosa hela ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa ziara ya kitaifa nchini India, leo Oktoba 9, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ziara ya kitaifa nchini India tarehe 9 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/4CCyGB0ET68?si=SxgeV7L3rZnjBpLi === Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na India zimekubaliana kukuza uhusiano wao wa kihistoria baina...
  6. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Abdul mwana wa Rais Samia yuko nchini India kwenye msafara wa Rais

    Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo. Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamishina Kafulila: Biashara kati ya Tanzania na India ni zaidi ya Dola Bilioni 24 ndani ya miaka 10

    KAMISHNA wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public Private Partnership-PPP) chini ya Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila, amesema hadi kufikia 2027 India itakuwa Nchi ya tatu kwa ukubwa wa Uchumi Duniani. India wana Miradi ya PPP 998 katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania...
  8. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Mzozo kati ya Canada na India una zidi kukua huku mahusiano kati yao yakizidi kuzorota huku kila upande ukifukuza Wanadiplomasia na kunyima Visa raia

    Kuna mzozo unaendelea kati ya Canada na India. Mzozo huu ulianza baada ya kiongozi wa Sikh, Hardeep Singh Nijjar, kuuawa mnamo Juni 2023 huko British Columbia. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau, alitangaza kuwa kuna ushahidi wa kuaminika kwamba mawakala wa serikali ya India walihusika na...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa mvutano kati ya India na Canada kunaonyesha unafiki wa Marekani wa wenzi unaojali faida

    Mwezi Juni mwaka huu, kiongozi maarufu wa jamii ya Masingasinga Hardeep Singh Nijjar ambaye pia ni raia wa Canada, aliuliwa kwa kupigwa risasi nchini humo. Hivi karibuni, Canada imeituhumu India kuhusika na mauaji hayo, na kumfukuza nchini humo balozi wa India. Katika kujibu hatua hiyo, India...
  10. M

    JamiiForums Tanzania India kujenga Chuo Kikuu Kizimkazi Zanzibar

    India inaanzisha Kampasi yenye hadhi ya juu ya Chuo cha Teknolojia (IIT) Madras, Zanzibar inayotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Ni Kampasi ya kwanza ya Chuo hicho nje ya India.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kuifungua Tanzania, kuanza ziara ya kikazi Nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi nchini India kuanzia Tarehe 6-11 mwezi huu wa October kwa mualiko maalumu wa Rais wa nchi hiyo. Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Rais ameambatana na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania General Manoj Pande wa jeshi la India yupo Tanzania kwa ziara ya kikazi

    Ziara ya general Manoj Pande kutoka India nchini Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=aIzo8AkcGxE Mkuu wa jeshi la ardhini la India, General Manoj Pande awasili kwa ziara ya kikazi Tanzania. General Manoj Pande amekutana na waziri wa ulinzi Dr. Stergomena Lawrence Tax, na mkuu wa majeshi ya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kinondoni Hospital na Madaktari Bingwa wa India kushirikiana kutoa huduma kwa Wagonjwa wa Saratani

    Kinondoni Hospital imetangaza programu ya siku mbali kuwa itashirikiana na wataalamu kutoka Hospitali ya HCG ya nchini India katika kutoa huduma za kitaalamu kwa wagonjwa wa Saratani. Akizungumzia programu hiyo leo Oktoba 3, 2023 Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja auawa India kwa kula nyama ya ng'ombe

    Hizi dini bana, kwa waislamu ukikamatwa unakula nguruwe ni hatari, kwa wahindu ukikamatwa unakula ng'ombe ni hatari. Watu wanaishi kwa kupangiana cha kukula kwa maagizo ya miungu wao ambaye kila mmoja hamtambui 'mungu' wa mwenzake. Police in India have arrested three men in eastern Bihar state...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Staa wa "Movie" Kutoka India, Sanjay Dutt atua nchini Kufanya Royal Tour kuitangaza Tanzania

    Msanii maarufu duniani kwenye eneo la filamu kutoka nchini ambaye ana zaidi ya wafuasi milioni mia mbili katika mitandao yake, Sanjay Dutt leo Septemba 18, 2023 ametua kuanza Royal Tour hapa nchini. Mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere na kupokewa na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania G20 India, Putin aufyata tena!

    Ile mizimu anayoiwahisha kusamehewa kwa Mola ingali ina muandama: Lile mwamba jembe la Buza Kwa mara nyingine litaendelea kufichama Kremlin. "Kwamba, hatoki mtu Moscow!" Hakutokea BRICS Sauzi na sasa hatotia mguu India. Yatasemwa mengi ila ukweli wa mambo utabakia: Ama kweli malipo ni...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Nchi za G20 waridhia Umoja wa Afrika kuwa Mjumbe wa Kudumu wa Jukwaa hilo

    Mkutano wa Jukwaa Kuu la Ushirikiano wa Kiuchumi wa Kimataifa la Group of Twenty (G20) limetoa baraka za kuupa Umoja wa Afrika Ujumbe wa Kudumu katika Jukwaa hilo ambapo sasa AU itakuwa na hadhi sawa na Umoja wa Ulaya (EU). Kwa uamuzi huo, AU itakua na sauti kwenye Kura za Maamuzi yatakayogusa...
  18. Huihui2

    JamiiForums Tanzania India wabadili jina la nchi yao

    Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika Leo huko India muswaada...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutua mwezini, India sasa yaelekea Juani

    India ndio nchi ya mwanzo kufanikiwa kutua kwenye ncha ya kusini ya mwezi ambako ndiko kwenye matumaini zaidi ya kuwepo kwa maji yatakayorahisisha kupiga kambi huko kwa ajili ya tafiti zaidi kuhusu ulimwengu. Baada ya mafanikio hayo wiki kadhaa zilizopita kwa kutumia chombo cha Chandrayaan sasa...
  20. Proved

    JamiiForums Tanzania India yatuma chombo maalum kuchunguza jua.

    India imepiga hatua kubwa mno, wanastahili pongezi kuingia kwenye 'field' tuliyozoea kuona Wamagharibi, Wachina na Warusi. Pongezi kwa India na wanasayansi wake.... Bado zamu ya Africa ipo njiani inashaallah.. Yoda dudus HIMARS T14 Armata Aleyn kp kipanya44 imhotep...
Back
Top Bottom