Mtu mmoja auawa India kwa kula nyama ya ng'ombe

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,440
Hizi dini bana, kwa waislamu ukikamatwa unakula nguruwe ni hatari, kwa wahindu ukikamatwa unakula ng'ombe ni hatari. Watu wanaishi kwa kupangiana cha kukula kwa maagizo ya miungu wao ambaye kila mmoja hamtambui 'mungu' wa mwenzake.

Police in India have arrested three men in eastern Bihar state in connection with the death of a Muslim man who was attacked because he was suspected of carrying beef, a police official said.

The victim, Naseem Qureshi, 56, died earlier this week after being attacked by a mob on suspicion of carrying beef, the sale and consumption of which is restricted in some parts of the country by local governments.
Qureshi was allegedly surrounded by more than 20 people and attacked, according to a police statement in court.

Police intervened but he died on the way to the hospital, according to the statement.

Ramchandra Tiwari, head of Rasulpur police station in Bihar, where the crime took place, told Reuters news agency by phone on Saturday that three people were arrested.

Cows are sacred in Hinduism, and there have been frequent attacks on those accused of killing them for meat or leather, predominantly people from the minority Muslim population or those on the lower rungs of India’s ancient caste system.

Hardline Hindu groups have been demanding a complete ban on cow slaughter across India.

Self-styled Hindu cow vigilante groups have taken to enforcing the law themselves ever since Prime Minister Narendra Modi’s Hindu nationalist government came to power in 2014.
 
Kwa ngombe wapo sahihi, ngombe hastshili kuchinjwa kwa namna yoyote .Ngombe ni mlezi wa viumbe wengi wakiwemo binaadamu, asilimia 90 ya binaadamu wote duniani tumelelewa na maziwa ya ngombe, yawezekana kumtegemea maziwa ya mama tuu tisingetoboa. Hata wahindi Ngombe ni kama Mungu wao kwani katika historia kizazi chao kiliwahi kufutika na kubaki vitoto viwili, viliishi kwa kunywa maziwa ya ngombe ndio kizazi kikaibuka tena.
 
Kwa ngombe wapo sahihi, ngombe hastshili kuchinjwa kwa namna yoyote .Ngombe ni mlezi wa viumbe wengi wakiwemo binaadamu, asilimia 90 ya binaadamu wote duniani tumelelewa na maziwa ya ngombe , yawezekana kumtegemea maziwa ya mama tuu tisingetoboa. Hata wahindi Ngombe ni kama Mungu wao kwani katika historia kizazi chao kiliwahi kufutika na kubaki vitoto viwili, viliishi kwa kunywa maziwa ya ngombe ndio kizazi kikaibuka tena.

Sio sahihi kulazimishana nini cha kula na kipi tusile, kila mtu ana imani yake, mimi kama siabudu huyo "mungu" wa wahindi au waislamu nisizuiwe kula nyama ya ng'ombe au nguruwe.

Ikumbukwe haya mambo ya imani, ni mambo ambayo hatuyaoni kwa macho, hivyo kila mtu aruhusiwe aishi na kuabudu kivyake asivurugwe, wewe ukitaka niabudu "miungu" yako basi nidhihirishie kwa upendo na amani, nihubirie na unionyeshe ishara za uwepo wake.
 
Hilo genge la hao wahindi waalikwe waje hapa kwetu, manake wahindi wakwetu Tanzania kuchwa kuchoma mishikaki na ndio wafanyabisahara namba moja wakuuza bidhaa za Ngozi(leather) madukani.... Patachimbika.

Hivi kusema Boko haram kwa kihindi unasemaje?
 
Yaani jamaa kamla Mungu wao?
Ni hatari sana kucheza na Imani za watu aise.

Nakumbuka home kipindi kuna ng'ombe hawa jamaa wa asili ya kihindi walikua wanakuja na viroba vya maana vya mihogo misafi kinoma wanawalisha ng'ombe.

Yaani wanaosha mabanda ya ng'ombe, tanki la Maji ya kunyweshea, yaani wakiona wachafu wanawasafisha yaani dah, wanawapapasa vichwani huku wakiwalisha mihogo na maboga aise.

Mzee akatuambia wakija nyie wacheni wafanye wanachotaka wanaabudu hivyo
 
Yaani jamaa kamla Mungu wao?
Ni hatari sana kucheza na Imani za watu aise.

Nakumbuka home kipindi kuna ng'ombe hawa jamaa wa asili ya kihindi walikua wanakuja na viroba vya maana vya mihogo misafi kinoma wanawalisha ng'ombe.

Yaani wanaosha mabanda ya ng'ombe, tanki la Maji ya kunyweshea, yaani wakiona wachafu wanawasafisha yaani dah, wanawapapasa vichwani huku wakiwalisha mihogo na maboga aise.
Mzee akatuambia wakija nyie wacheni wafanye wanachotaka wanaabudu hivyo
Duuh kali!
 
Back
Top Bottom