Rais Samia, watanzania wameudhika sana na Idadi/aina ya watu katika msafara wako India

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,410
74,046
1. Abdul alikwenda kama nani?
2. Wasanii na wengine wa aina hiyo walikwenda kufanya nini?
3. Mawaziri lukuki wa nini?
4. Na wengine wengi ambao hawana tija katika safari hiyo

Pesa zimepondeka kisawasawa

HAPO HAPO TUNALIA
1. Maiti za watanzania zinazuiwa hospitali kwa ndugu kukosa hela ya kulipa
2. Mikopo kwa wanafunzi ni ya ubaguzi...eti hakuna hela
3. Hospitali hazina dawa
4. Kodi mbele na nyuma
5. Tozo lukuki
7. Giza kila mahali
8. Shule hazina madawati
9. Stahiki za wafanyakazi hazilipi, hasa waliostaafu

ongezeni mengine ya kuudhi!
 
4. Kodi mbele na nyuma❌❌
5. Tozo lukuki
7. Giza kila mahali
8. Shule hazina madawati
9. Stahiki za wafanyakazi hazilipi, hasa waliostaafu

ongezeni mengine ya kuudhi!
Wivu tu!
 
Aiseeeee !!!
 
Mambo mengine hayana tija tumuache mazeli apumue. Tumuhoji mambo ya msingi hasa hasa bandari zetu na katiba mpya.

Kibindi kile Obama alivyokuja na wanawe hapa Tanzania kwa nini hatukuhoji wamekuja kama akina nani?
Ya Obama hayatuhusu, Obama hakuna shule za hivi
1697031857847.png
1697031872452.png
 
Mambo mengine hayana tija tumuache mazeli apumue. Tumuhoji mambo ya msingi hasa hasa bandari zetu na katiba mpya.

Kibindi kile Obama alivyokuja na wanawe hapa Tanzania kwa nini hatukuhoji wamekuja kama akina nani?
Unafananisha Tz na Marekani ......kula kulingana na urefu wa kamba yako

Obama alikuja kama likizo maana asili yake ni Kenya(walipita Kenya ) ,pia wao GDP yao ni kubwa hivyo wanajiweza (First world country)tofaut na sisi ambao tunajitafuta (Development county)
Malalamiko ya mleta uzi yanamsingi Sana maana tunajitafuta Sana na wananchi wanangaika ila haipiti wiki 2 au 3 ujaskia kuna kiongozi anazurura nje ya nchi (Hela nyiiingi zinachezewa hapa )
 
Ngoja tuponde kwanza raha.hayo mengine pesa tutaenda kukopa kwa wahisani wetu wa maendeleo mtakuja kulipa taratibu kwa kodi na tozo.
 
1. Abdul alikwenda kama nani?
2. Wasanii na wengine wa aina hiyo walikwenda kufanya nini?
3. Mawaziri lukuki wa nini?
4. Na wengine wengi ambao hawana tija katika safari hiyo

Pesa zimepondeka kisawasawa

HAPO HAPO TUNALIA
1. Maiti za watanzania zinazuiwa hospitali kwa ndugu kukosa hela ya kulipa
2. Mikopo kwa wanafunzi ni ya ubaguzi...eti hakuna hela
3. Hospitali hazina dawa
4. Kodi mbele na nyuma
5. Tozo lukuki
7. Giza kila mahali
8. Shule hazina madawati
9. Stahiki za wafanyakazi hazilipi, hasa waliostaafu

ongezeni mengine ya kuudhi!
Mkuu hizo hela zinaweza tatua yote hayo? Yaani safari moja inaweza kutatua yote hayo? We have to think beyond the reasonable line!
Hivi mkuu unaamini kabisa hao viongozi wote wakitolewa wakawekwa wengine nchi hii inakuwa tajiri?
Magufuri hakusafiri je nchi ilibadirika ikawa tajiri?
My dear member sisi watanzania na waaafrika hatujajua sababu kuu ya huu umasikini wetu, yaani bado hatujajua, tunakisia na ku direct our weakness to other people( defensive mechanism).
Nchi nyingi za waafrika wameondoa uongozi wa juu wa maamuzi lakini hadi leo ni nchi masikini.
Zambia kimeingia chama cha upinzani, Je nchi haina shida kama yetu?
Sababu ya umasikini wa sisi watanzania ni zaidi ya hao viongozi unaowatupia lawama.
Imagine na uzalendo wote ule aliokuwa nao nyerere kakini aliicha nchi ikiwa hohe hahe!
Is there any research which conclude that our poverty is an outcome of our leadership failure?
Gabon, Bokinafaso, Mali na Niger zimefukuza viongozi wao, Je baada ya miaka 10 zitakuwa nchi tajiri?
What happened in Sudan -Southern and Northern, tawala si zimeangushwa pale, Je hizo nchi zipo wapi mpaka sasa ?
You have to scratch your brain more. Niishie hapa ili isiwe thread kamili.
 
Kwahiyo looting ruksa kwa vile matatizo yote hayawezi kutatuliwa na hela hizo and the rest kama ulizozianisha. Therefore tusikemee ufujaji kwa vile hizo ni hela kidogo hazitatua matatizo yote niliyoyaainisha?

Mwanao aibe/atawanye pesa kwa vile hazitamaliza matatizo yako?

Umeniacha hoi! If that is the noble thinking, then tumekwisha......
 
Back
Top Bottom