india

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Badala ya ku-export mbaazi, sasa tuna-export ngono kwenda India

    Imebainika moja ya mazao makubwa yanayokuwa exported toka Tanzania kwenda India ni ngono, hii ni baada ya soko letu la bilioni 500 la mbaazi huko India kuyeyuka. Je, tupo sahihi kuexport bidhaa hii? Video hapo chini ina maelezo ya ziada na ya kina. Ila pia sijafurahia hii tabia ya mabeberu...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Idadi ya waliokufa nchini India yafikia watu 23

    Maelfu ya watu wamejiunga na wimbi jipya la maandamano dhidi ya sheria mpya ya uraia nchini India huku idadi ya waliokufa katika vurugu hizo za karibu wiki mbili ikifikia watu 23. Idadi ya vifo imepanda siku moja baada ya kuzuka maandmanao ya vurugu kwenye jimbo la Uttar Pradesh ambako watu 15...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waandamanaji 100 wakamatwa India wakipinga Ubaguzi kwa Waislam

    Polisi nchini India wamewatia mbaroni zaidi ya watu Mia Moja waliokuwa wakishiriki katika maandamano ya kupinga muswada wa uhamiaji uliopitishwa na Mabunge yote mawili ya nchi hiyo, Muswada ambao wanauona kuwa ni wa kibaguzi. Hasira za Waandamanaji zimeongezeka baada ya mahakama nchini humo...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maandamano dhidi ya sheria mpya ya uraia India

    Maelfu ya watu wameteremka majiani katika miji kadhaa ya India , masaa machache tu baada ya dazeni kadhaa za waandamanaji na maafisa wa polisi kujeruhiwa, machafuko yaliporipuka katika viwanja vinavyozunguka vyuo vikuu. Sheria ya uraia iliyoidhinishwa wiki iliyopita inawaruhusu wahamiaji ambao...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wakatishwa tamaa na COP25

    Mazungumzo ya Mabadiliko ya Tabia Nchi ya Madrid (COP25) yamemalizika kwa hali ya kuvunja moyo, baada ya wachafuzi wakubwa wa mazingira kupinga nyongeza ya jitihada za kukabiliana na ongezeko la kiwango cha joto duniani. Waandaaji wa mkutano waliwakusanya washiriki kutoka mataifa 200 hadi zaidi...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Afrika wanapelekwa India kwa ajili ya ngono

    BBC Africa Eye imefichua mtandao unawashawishi wanawake wa Kiafrika kwenda India, ambako wanalazimika kufanya ukahaba ili kuwaridhisha wanaume wa Kiafrika wanaoishi New Delhi. Paspoti zao zinachukuliwa na matembezi yao kudhibitiwa hadi watakapolipia gharama kubwa waliyotumia kusafiri kwenda...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Tunahofia sheria mpya ya uraia India, inabagua

    Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva Uswisi msemaji wa ofisi hiyo Jeremy Laurence amesema “sheria hiyo iliyorekebishwa inataka kuongeza kasi ya mchakto wa uraia kwa makundi ya kidini ya awaliowachahe ikiwataja hususan Wahindu tu, Singasinga, Wabudha, Wajamatini, Waparsis na Wakristo...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Modi na Abe waahirishwa kutokana na machafuko India

    Mkutano wa kilele uliotarajiwa kuwakutanisha Waziri Mkuu wa India Narendra Modi na mwenzake wa Japan Shinzo Abe umeahirishwa. Kulingana na wizara ya mambo ya kigeni ya India hatua hiyo inatokea wakati kukiwa na maandamano yaliyosababisha machafuko kwenye eneo lililoandaliwa kwa ajili ya...
  9. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Delhi India: Zaidi ya watu 43 wamefariki baada ya kiwanda kulipuka

    Mlipuko huo ametokea asubuhi ya leo na imeelezwa kuwa wengi wa waliofariki ni Wafanyakazi wa Kiwanda hicho waliokuwa wamelala Kikosi cha Zimamoto kimefika eneo la tukio na kuendelea na juhudi za kuuzima moto huo pamoja na kufanya kazi za uokoaji Hata hivyo inahofiwa kuwa idadi ya vifo inaweza...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watumiaji wa WhatsApp India wameagizwa kupakua programu mpya?

    Shirika kuu la usalama wa mtandao nchini India, Cert, imewaomba watumiaji wa mtandao wa WhatsApp kupakua programu mpya ( ya hivi punde) katika simu zao baada ya kugundua kuwa kulikuwa na programu mpya ya udukuzi katika programu ya awali ya ujumbe wa programu hiyo. Programu hiyo ya software...
  11. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Pakistani yafanya jaribio la kombora la nyuklia (Nuclear-Capable Ballistic Missile) siku chache baada ya India nayo kufanya jaribio kama hilo

    Pakistani yafanya jaribio la kombora la 'Balistiki' lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia Pakistani imefanya jaribio lenye mafanikio la kombora la balistiki lijulikanalo kama Shaheen-I lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia na kusafiri kwa umbali wa kilometa 650, hivyo kuiweka miji mingi ya...
  12. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania India yafanya jaribio la usiku la kombora la Agni II lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia

    Afisa wa Ulinzi alisema kuwa, hii ni mara ya kwanza kwa kombora hilo kufanyiwa majaribio nyakati za usiku India siku ya Jumamosi ilifanikiwa kufanya jaribio la usiku la kombora la 'Agni-II', kombora la masafa ya kati la ardhini kwenda ardhini lenye uwezo wa kinyuklia kutokea katika kisiwa cha...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watu 7 wauawa Kashmir katika mapigano kati ya India na Pakistan

    Maafisa wa kijeshi nchini India wamesema makabiliano kati ya wanajeshi wa Pakistan na India katika eneo lililo na utata la Kashmir yamesababisha mauaji ya watu 7 kutoka pande zote mbili. Jeshi la India limesema wanajeshi wa Pakistan mapema hii leo walilenga eneo moja la mpaka wake na eneo...
Back
Top Bottom