Wakuu habari za muda huu?
Naomba wauzaji wa tiles au yeyote mwenye kujua nani ambae ana hizi tiles za aina hii anijuze. Nimeshazitumia sehemu kubwa ila zimepelea kama box3 nimerudi kwa alieniuzia kamaliza. Mwenye nazo tafadhali sana naomba mawasiliano yako tufanye biashara.
Model yake ni...
Waziri mkuu wa India, Narendra Modi amesherehekea pamoja na kufanya ibada baada ya kuzaliwa ndama wa ng'ombe mwenye alama nyeupe kichwani katika makazi yake ya 7, Lok Kalyan Marg. Modi alisema makazi hayo yamebarikiwa kwa ujio wa ndama huyo aliyempa jina la Deepjyoti(mwali wa moto).
Katika dini...
Leo siasa pembeni
Leo nimeingia kwenye majonzi binafsi
Ben rafiki yangu wa miaka mingi aliniunganisha na wazalishaji wa kemikali nchini India maana alifahamiana nao akiwa kule.
Leo supplier wangu ananiuliza hivi fulani yuko wapi (Ben Saanane)? Nimekosa jibu la kumpatia huyo muhindi.
Hapa...
Habari za asubuhi wanajamvi
Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya wafanyakazi wake
Nadhani by now, kila mtu atakuwa anafahamu kuwa Dkt Faustine Ndugulile amechaguliwa kuwa...
India imepiga marufuku dawa 156 za mchanganyiko zilizotengenezwa kwa dozi maalum (FDC) zinazotibu homa, maumivu, mzio nk
Hatua hiyo ni baada ya wasiwasi juu ya kutokuwepo kwa uhalali wa Kisayansi na hatari zinazoweza kutokea kwa Afya ya Binadamu atakayetumia dawa hizo
Miongoni mwa dawa hizo ni...
Wakuu Nina mgonjwa anatakiwa operation ya ziwa, naomba nisaidieni agency contact au watu wanaohusika na matibabu ya kwenda India. Natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa waungwana. God Bless You.
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 24 Julai, 2024 amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini India kwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Droupadi Murmu Ikulu Jijini New Delhi.
Katika...
India ni moja ya mataifa yanayo amini sana kwenye Tiba asilia na ndio sababu wana idadi kubwa sana ya dawa za asili. Kampuni kama Himalaya ina dawa nyingi sana za asili za magonjwa tofauti tofauti.
Kwa Dawa za Himalaya welness kama kuna dawa ya asili ya ugonjwa wowote unaitafuta kwa nuda...
Waziri Mkuu Narendra Modi na mwenzake wa Bangladesh, Sheikh Hasina, walitoa maono yao ya pamoja juu ya amani, ustawi na maendeleo ya majirani hao wawili na kanda nzima, yakiongozwa na uunganishaji, biashara na ushirikiano.
Makubaliano hayo muhimu yaliyohusisha uunganishaji, biashara na sekta ya...
New Delhi
Prime Minister Narendra Modi and his Bangladesh counterpart Sheikh Hasina on Saturday articulated their shared vision for peace, prosperity and development of the two neighbours and the entire region driven by connectivity, commerce and collaboration
Significant agreements...
Muungano wa vyama vya habari na mashirika ya haki za kidijitali nchini India tarehe 28 Mei walipitisha azimio likiitaka serikali kuu kufuta sheria mpya ambazo "zinakusudia kudhibiti" uhuru wa vyombo vya habari, Baraza la Vyombo vya Habari la India lilisema katika taarifa siku ya Ijumaa.
Sheria...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria Yusuf Maitama Tuggar siku ya Jumapili aliwapongeza watu wa India na Waziri wa Mambo ya Nje S Jaishankar kwa "kuonyesha hadhi yao kama ngome ya kidemokrasia duniani."
Yusuf Maitama Tuggar alisema mchakato wa uchaguzi wa India ulidumu kwa siku 44 na akauita kuwa...
Mumbai (Maharashtra) [India], Mei 22 (ANI):
Wakati uchaguzi wa Lok Sabha unafanyika nchini India katika awamu ya saba, Balozi wa Marekani nchini India, Eric Garcetti amesema kuwa Dunia imeshangazwa na inashuhudia demokrasia kubwa zaidi ikitendeka kupitia Uchaguzi huo.
Akiwa mwangalizi kwa...
Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa.
Mpango nilionao ni kuanzisha biashara ya spears za pikipiki na tri cycles (guta au Toyo). Changamoto niliyonayo ni...
Kolkata (West Bengal) [India], May 14 (ANI):
Highlighting the protests in the Pakistan-occupied Jammu and Kashmir (PoJK), External Affairs Minister S Jaishankar on Tuesday, reiterated that “it has been India and will always be,” adding that people in PoK must be comparing their situation with...
Habari,
Taarifa zinaeleza kuwa mnamo mwaka 1950 timu ya Taifa ya India iliamua kujiondoa kushiiriki Kombe la Dunia sababu ya Shirikisho la Soka Ulimwenguni kuwakatalia kucheza peku.
Kuna ukweli wowote hapa?
Takriban watu 14 wameaga dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kubwa kuanguka wakati wa dhoruba ya ghafla katika mji wa Mumbai nchini India.
Bango hilo, lenye ukubwa wa mita 70 kwa 50 kwa mujibu wa polisi, lilianguka kwenye nyumba na kituo cha petroli jijini siku ya Jumatatu...
Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla?
Tax itakuwa bei gani?
Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli.
Nipo Dar es salaam, msaada wenu tafadhali.
Mahakama Kuu nchini India imetengua Sheria ya ubakaji ndani ya ndoa (marital rape act) ambayo mke katika ndoa aliweza kumshitaki mumewe mahakamani kwa kosa la ubakaji (kumuingilia bila na ridhaa yake) na kudai kulipwa fidia au mume kwenda jela miaka 15 au vyote kwa pamoja.
Mahakama Kuu imesema...
Akiendelea kumsifu Waziri Mkuu Narendra Modi kwa kusambaza habari juu ya sifa na hadhi ya India inayokua kimataifa katika pembe za mbali za nchi katika kampeni ya uchaguzi wa Lok Sabha, kiongozi wa zamani wa Congress Acharya Pramod Krishnam alisema ujenzi wa Hekalu la Kihindu la BAPS huko Abu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.