huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Namlisha mawazo Mwigulu; "Huyu John Heche anajiamini nini huyu"

    https://www.youtube.com/shorts/6aDJnh2uHPo Sauti ya Mamlaka John Heche ikipasuka
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa huyu mtaalamu chapati nzuri inatakiwa ipikwe kwa masaa 7.

    Huyu mtaalamu kajibu swali la wengi kwa hii video aliyopost. Wale mnaopenda chapati lazima mjue chapati yenye ubora huchukua hadi masaa 7 kwenye mapishi yake. Tazama video. https://youtube.com/shorts/sKLhw0qNrRg?si=DyW9usbmgs9eFabm
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye anwani ya huyu jaji

    Kuna ndugu zake wanamtafuta kama unajua anapoishi tuma pin au anwani yake
  4. amarina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mwanamke alini provoke. nikakimbilia kwa mtaalamu huyu

    Albert Einstein Albert Einstein: What a wise man never says to a woman Few names evoke as much intelligence and depth as Albert Einstein’s. But beyond his formulas and theories, the German physicist left a legacy of reflections on life, love, human behavior and the power of silence. One of...
  5. Think2

    JamiiForums Tanzania Huyu ni George aliyepigwa risasi Gongo la Mboto

    Kijana akieleza kwa machungu kisa kilichumpata hadi kukatwa mguu wake alipigwa risasi akiwa maeneo ya gongo la mboto kisha kapelekwa hospital na kukatwa mguu alikuwa na pikipiki polisi waliondoka nayo hadi leo hajui pikipiki yake ilipo. Wamemyia ukilema kijana wa watu hawezi tena kufanya kazi...
  6. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Kama unadhani siku yako Mbaya, huyu ni zaidi

    Unaweza ukapiga yowe.
  7. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Ni nani huyu Grace Matage?

    Vyombi vya habari na mitandao ya kijamii inamfahamu kama mkurugenzi wa RHG company, kampuni inayohusika na Clearing and fowarding na ni mawakala wa forodha. Hili jina leo nimekumbuka ile kesi ya askari waliohusika na unyang'anyi wa milioni 90 za huyu mama grace matage. Kesi ya mwaka 2023...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  10. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Huyu binti maisha yake hayatakuwa sawa tena

    Katika siku za karibuni tumeshuhudia tukio la kushangaza ambapo kikundi cha watu waliodai kuwa ni Wakatoliki walijitokeza hadharani kupinga matamko ya viongozi wa Kanisa Katoliki, akiwemo Askofu Mkuu Ruwaichi na Padre Kitima, waliotoa kauli nzito kupinga mauaji ya tarehe 29 na hali ya...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huyu Sheikh Vipi? Mpaka sasa nmeshindwa mwelewa kabisa

    Hivi anajielewa kweli?
  12. ankol

    JamiiForums Tanzania Msisitizo wa huyu dada si wa kupuuzwa

    Ni yule dada maarufu aishiye marekani. Kutokana na tweet zake za hivi karibuni zinanifikirisha na sio za kupuuzia. Mara nyingi hutweet akiongea maneno meengi, ila nowadays amekua akiongea herufi chache tena kwa maandishi makubwa. Sitaki kuyasema hapa. Aliyasema wiki iliyopita nikapuuzia, ila...
  13. blogger

    JamiiForums Tanzania Huyu Naibu Waziri TAMISEMI awe Waziri kamili, kama ilivyofanyika kwa Makonda

    Ni mchapakazi. Mambo yake yako Wazi. VIDEO Kwako samuya..
  14. co fm

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu huyu mdogo wangu mkopo wa milion 100

    Hello wadau, poleni sana na majukumu ya kulijenga taifa. Ipo hivi mimi nina mdogo wangu mwaka jana alipata mchongo kwenye taasisi moja hivi na wanamlipa vizuri sana like 4m kwa mwezi na tena bado ni mdogo sana ni miaka 26 tu. Juzi kaja home nikawa namuulizia habari za kazi akawa anipa stories...
  15. comrade_kipepe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mama alikua anamaanisha nini?

    Nanukuu maneno yake niliyosikia nikiwa dirishani chumban kwangu, yeye alikua anapita barabaran anapita halafu alikua anaongea kwa nguvu sana! "YANI NA KWAMBIA KWA WEEK MARA MOJA DAKIKA 5 TUU, TENA HIYO MARA MOJA YENYEWE KWA MBINDE SANAAA YANIIII"P
  16. Pakome

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa tambueni kuwa Wananchi tumeshachoka kuvurugwa, kaeni myamalize, habari za huyu kafanya hivi mara yule kafanya vile tumezichoka

    Ifike mahali kelele za kila siku ziishe Too much is harmful Wanasiasa tambueni kuwa Wananchi wanafuata maelekezo yenu Mkisema nchi itulie basi itatulia Mkisema iwake basi itawaka Ninyi ndio wenye uamuzi wa mwisho kabla ya matokeo Twendeni Mataifa makubwa tuone namna yametulia na yanafanya...
  17. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo huyu ndio alikuwa na akili kuliko wote waliondamana ubalozi wa Vatican?

    Mpaka wakamuamini akaaamua asome biblia kinyume nyume. Alieleta hii idea huko kijani nadhani atakua yupo kizuizini chini ya jenerali fweleboy mana mchongo umebuma vibaya mno. Ni huzuni Ila huyu dada noma kuna rivasi kanipigia hapo Corinthians 13 mpaka 10
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania TEC huyu mama anawabeep. Tunaomba muandike barua kwenda ICC kuieleza mna ushahidi wa Mauaji yaliyofanyika Oktoba 29 na mpo tayari kuutoa

    Huu ni wito kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC. Nyie ni chombo nyeti sana na mna aminika dunia nzima. Huyu kibibi anawabeep sana. Anawashambulia, anawateka, na kuwafanyia mashambulizi ya kutaka kuwaua. Sasa akishirikiana na wapumbavu wake wa tiss na bakwata anaandaa vikundi vya...
  19. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo Mkuu wa Majeshi ambaye watu wanaweza kujivunia kuwa naye

    Ni General Dan Caine, mkuu wa majeshi ya Marekani [Chairman of the Joint Chiefs of Staff]. Nimemtazama na kumsikiliza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika baada ya operesheni ya kumkamata Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ilipomalizika kwa mafanikio...
  20. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Eng Hersi sjui ulimtoa wap Djigui Diarra, Huyu ni kipa wa makipa

Back
Top Bottom