Britanicca ndio wewe? Unajisikiaje sasa?

Britanicca ndio wewe? Unajisikiaje sasa?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,207
Reaction score
14,066
Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa.

Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC.

Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa kusimama upande wa watu wa Iran badala ya Islamic Republic regime.

Majeshi yameonekana kutii ujumbe huo wa video, utii huo umepelekea viongoza wa serikali na familia zao kuanza kutoroka nchini.

Sasa hivi wananchi wanaonekana kushikilia majimbo na kuyaongoza pasipo uwepo wa serikali.

Wanajeshi wa vikosi vya IRGC wanaonekana kuchoka, kuelemewa na kutokuwa sawa kisaikolojia. Wengi wanaonekana kukimbia hovyo wakiondoka maeneo yenye vurugu

------
Britanicca ndio wewe uliandika uzi huu? Tuombe radhi umetuabisha expert member kama sisi.
Mihemko tunatakiwa tuipunguze
 
Tulia we kobazi dozi ikuingie, Iran wenyewe wamebanwa p.umbu mpaka wakaachia lango la hormuz wewe muiran wa kinyerezi unabwabwaja bwabwaja tu huelewi ufanye nini.
Kwani hapo mwanzo ilikua ajenda ya hormoz. Wakiristo wa hf mumejionyesha mlivyowatupu ktk vichwa vyenu ktk maswala ya uchambuzi. Mnameza kila mnachopewa na media za magharibi. Kwa ufupi Empty head. Akili zenu zimelala zinasubiri umeze nini Trump kasema
 
Regime Change imetokea ndio maana IRGC wanafichama na wale viongozi wao wenye mdomo wamewahishwa kwa Mabikira 72 na mito ya pombe

Kina Abbas aragachi, Galibaf hao ni upande wa serikali ,sio kundi la kigaidi la IRGC

Hao Trump alimwambia ISRAEL wasiuawe maana ni moderate na wanafaa kwa mazungumzo

Akili yako imekudanganya Regime Change lazima itoke nje ya Iran 😂

Regime Change ni kule kuwa na viongozi watakaokubali matakwa ga USA

Kama tunavyoona Uranium itasafirishwa kwenda WASHINGTON

Iran isidhamini makundi ya kigaidi kama Hezbollah,houth

N.k
 
Trump amesema wazi Marekani itachukua ‘nuclear dust’ na Iran imekubali mambo mengi kwenye mazungumzo. Hata kama Iran inakanusha hadharani, fact kwamba wanajadili kuachia uranium inaonyesha wameingia kwenye pressure.

Hiyo ndiyo real regime change kubadilishwa kwa nguvu ya taifa, sio lazima kuondolewa kwa serikali.
 
Ni mpuuzi pekee ambaye hadi sasa anaamini kinachotamkwa na Trump,
Hivi unaamini Trump humaanisha anachoongea?
 
Ni mpuuzi pekee ambaye hadi sasa anaamini kinachotamkwa na Trump,
Hivi unaamini Trump humaanisha anachoongea?
Tukusikilize wewe uliyepo hapo Masjid Mtoro ukinywa kahawa ?
FB_IMG_1776498676982.jpg
 
Trump amesema wazi Marekani itachukua ‘nuclear dust’ na Iran imekubali mambo mengi kwenye mazungumzo. Hata kama Iran inakanusha hadharani, fact kwamba wanajadili kuachia uranium inaonyesha wameingia kwenye pressure.

Hiyo ndiyo real regime change kubadilishwa kwa nguvu ya taifa, sio lazima kuondolewa kwa serikali.
Lete uthibitisho nje ya statement za Trump na nje ya media za Marekani
 
Hakuna kinachoongelewa na Trump kama ajali

Humu jf siasa za geopolitics mmezivamia sana
Bwege wa “jeshi la kati la marekani” US CENTCOM
Umezoea uzushi na mada zako za kisabato na kamari zimedoda

Unakurupukia “siasa za geopolitics” huna lolote unalojua zaidi ya kuingiza udini jinsi ulivyo na myopic mindest
Unahangaika kila post u comment kama kuku anataka kutaga

Subiri kibarua chako cha udereva wa deiwaka kiote nyasi boss wako asimamishe magari kwa kupanda kiwese!
 
Back
Top Bottom