Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).
Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump.
Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana hata na kumfanyia mengineyo zaidi ya hayo 😉.
Fedhuli Samia akae akijua kwamba damu za maelfu ya...
Naombeni tuu msije mkamnyakua maana jamaa amekataa uchawa na ameacha akili yake ifikiri kwa kina bila uoga na bila kujali mkono wa chuma.
Alichokiongea kwenye hii video kina make sense sana, na sio mara ya kwanza huyu jamaa kutema madini bila uoga aisee.
RESPECT BRO 🫡
Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha...
PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025|2026
==
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025|2026.
Menejimenti na watumishi wa kituo hicho...
Kabila la wasukuma humuita pambe nimependa kutumia pande kama kichwa cha uzi kinavojieleza
Nyoka huyu hana nouma kabisa hua anaaibu sana mara nyingi wasukuma humtumia kwenye michezo yao ngoma za kijadi.
Ila ajabu ya nyoka huyu ni kwamba indapo utamchanganya na nyoka wengine basi utakuta wote...
Salaam,
Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko Dubai kwa gia ya kwamba wanawafuata Watanzania Wasidhuriwe na Mabomu ya Iran.
Kama alitoa ndege...
Wanabodi
Tanzania tuna ma pastor wengi wakijiita majina mbalimbali kuanzia Mchungaji, Mwinjilisti, Padri, Baba Paroko, Askofu, Mtume, Nabii, Kuhani, Kardinali hadi Papa Mtakatifu, wote hawa ni viongozi wa kiimani, kazi yao kubwa kuhubiri neno la Mungu, wengine wakifanya miujiza ya uponyaji na...
Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa.
Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC.
Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
Huyu kajichanganya, kapita kwenye njia ambazo walipa kodi huwa wanapita huku CCM wakinadi kuwa nchi ina barabara zimejengwa kwa kiwango bora sana huku sehemu kubwa ya nchi ikiwa hoi kama hivyo licha ya kelele kuwa wamewaletea maendeleo wananchi.
Haya huyu atakuwa wa wizara gani huyu?
Urembo wako usiwe guarantee ya kudate na wanaume kibao Ili wakuweke mjini. Acha kushinda saloon binti acha kushinda mtandaoni kutingisha makalio, kurembuarembua Ili upate likes.
Kama mrembo, mbona warembo wapo kibao na wengine walishaiga dunia. Na bado kuna wengine daily wanazaliwa.
Punguza...
Kaka Pascal Mayalla, huyu ni Kibo Marreale mtoto wa Mangi Mwitori Petro itossi Marreale, huyu ni fisi na simba na apumzike anapostahili alikuwa mnyama na muuaji
Hbr za muda wakuu wangu ! ...ni kweli nimeadimika sana humu ndani ila tupo pamoja ni majukumu ya kitaifa na shughuli zangu binafsi vinanibana sana hadi kukosa muda wa kuja kuwatembelea na kuwa tia moyo kwa yale mnayo yapitia us individual au groups poleni san wanangu ama hakika Mungu yupo...
MUHOOZI ANATAKA BIKRA..😀
Kiongozi wa jeshi la Uganda na mtoto wa Rais wa nchi iyo, ametoa kauli isiyo ya kawaida kwa kuitaka nchi ya Turkish Uturuki itemize masharti yafuatayo haraka.
1) Uturuki itoe kiasi cha U.S Dola billion 1, kwaajili ya maendeleo ya nchi yake. Ikiwa ni pamoja na kuongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.