huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Trauma ya Mtoto: Karatasi Iliyofinyangwa

    Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa. What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy. Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa, Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi...
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Nimesoma hii comment ya huyu hadi mwili umesisimuka

    Pole sana bwana PERAMIHO YETU 1
  3. Olivia olivia

    JamiiForums Tanzania Angalieni umbo la hiki kiwanja, maana huyu mtu analia

    Amenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga nyumba. Mfano wa hicho kiwanja kilivyo kaa ni hiki apa Hicho chenye umbo la pembe 3, kimeandikwa 510...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watoto wakinondoni hivi huyu dotto magari anataka tuchafue mpaka kituo cha ostabey polisi leo anajiona mwenye nchi.

    Mnafaili mengi naye ila mnapompeleka kuna siku wana anawauza tena anawauza kwa kupenda sifa. Siku zake zinakaribia sio kwenye kutetea CCM na utawala wake ila hapo hapo mwambie hisa tambuu anaweza kumponza.Huyu dotto magari sijui kama anaelewa kuna mafia na mafia wanamuangalia hapo alipo
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ni wazi huyu kijana wa Bavicha pwani Katumwa chukua hizi hints za kijasusi

    Guys. Ssi wataalamu wa intelijensia tushajua tayari hilo ni gharasa limetumwa kushambulia. 1 Eyes contacts pamoja na kuongea peke yake mda mwingi alikuwa hajiamini kuiangalia kamera. 2. Kijana ameongea amejawa na wasowasi mwingi kwa ongea yake ya harakaharaka isiyokuwa na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Chawa huyu, mpaka inatia kinyaa!

    Mpaka inatia kinyaa. Linatafuta uteuzi, lakini ukweli linaujua kuwa hizi hela ni za walipa kodi na si za samia! Nshomile takataka
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna stori kuwa huyu sheikh kaikataa mimba ya huyu binti, binti naye karuka nae kidijitali kumuabisha

  8. bless on

    JamiiForums Tanzania Huyu Jamaa Anakuja Lini?

    Tangu tukiwa wadogo tukiwa tunapiga kelele, story imekuwa ni moja tu jamaa anakuja! Walimu walikuwa wanatupiga mkwara hadi tunashindwa kulala, tukihisi tukifumba tu macho, jamaa huyo hapa getini. Lakini miaka imekata, 2030 hiyo hapo inachungulia, na maisha bado ni yaleyale, foleni za...
  9. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Tukishamfukuzia huyu Kizimkazi; Je, ajaye naye tumfukuzie Ikungi?

    Mwalimu Nyerere aliwahi kutuasa kuwa mambo ya kuchochea chuki za ukabila, ama udini, yakianza na tukayapa nafasi, hayana simile. Si hoja yangu leo kumtetea Rais Samia kwa mambo anayolaumiwa, Hoja yangu ni propaganda za ubaguzi wa kidini, kikabila na kikaburu zinazoambatanishwa na ukosowaji...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo yana chekesha sana ;Iran ya sasa iwezi kutanganza wala kuonesha huyu ni kiongozi wa sasa.

    Tumeshuudia kila kiongozi wa iran aliwahishwa haraka kupokea mabikra 72. Kwa sasa nchi ya irani inaogopa hata kutangaza huyu ni kiongozi gani maana kwa mashambulizi wanayo pokea mpaka nyumbani kwao na familia zao wameona kuishi kwa mtindo giza.
  11. haszu

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume nikiwaangalia kwa muonekano wao, najiuliza hivi huyu atapata mpenzi kweli?

    Nadhani hii sio mimi pekeangu, kuna jamaa ukimuangalia hadi unamuonea huruma, unajiuliza " hivi huyu atapata mpenzi kweli ?" . Ukweli wanawake wanahuruma sana , na kama isingekua hizi sifa za ziada kama hela/kazi, kunawanaume wengi wangekua na hali ngumu sana. vice versa Jamaa wengi...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Je, huyu ndiye muwakilishi wa wachungaji wachoyo zaidi?

    Ndugu zangu miongoni mwa mambo yanayofanXya Imani ionekane uhuni ni pamoja na hili la wachungaji kuisujudia pesa. Musikilize mwenyekiti wa CPCT (The Council of Pentecostal Churches of Tanzania) Yaani mwenyekiti wa umoja wa makanisa ya kilokolo (wokovu) anavyowakilisha asilimia kumbwa ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba...
  14. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Yanga tusifanye makosa kwa kocha tena huyu kocha mrudisheni

    I salute you kinsmen Nilikuwa kimya kwa muda mrefu maana niliona wazi dalili kwetu si nzuri sana Kimsingi msimu huu ilitakiwa tubebe yote tena lakini kwa kuwa kuna sehemu tangu mwanzo tulishabugi basi ikawa kusubiri kudra tu. Tulikosea kwenye usajili huo ndio ukweli kabisa. Walioingia...
  15. SACO

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ufadhili wa masomo kwa huyu binti

    Amehitimu form four mwaka jana kwa msaada wa mfadhili ambae kwa bahati mbaya alifariki akiwa katikati ya masomo, hivyo kafanikiwa kumaliza kidato cha nne kwa kuungaunga tu lakini alifanikiwa kupata division one na kachaguliwa kwenda kusoma kidato cha tano Arusha. Ana mama yake ambaye hana uwezo...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Alie tunga wimbo " ALISEMA NYERERE VIJANA WOTE MLEGEA " ni Genius wa viwango vya juu sana. Wapinzani wanapaswa kujifunza kwa huyu mwamba.

    Wimbo uliimba " ALISEMA ALISEMA ALISEMA. NYERERE ALISEMA, VIJANA WOTE MLEGEA SHARTI TUANZE MCHAKAMCHAKA CHINJA CHUKUA CHINJA CHUKUA". This was a Diss to Nyerere Ila watu wengi hawajui kwa sababu they don't listen. Wakati Nyerere anatoa hiyo kauli wengi wetu hatukuwepo au hatukumsikia live...
  17. ZirlovimovicZirkov

    JamiiForums Tanzania Je, tumeamua kumfuga huyu chatu na kumruhusu atawale nyumba yetu?

    Wakuu heshima kwenu. Baada ya muda mrefu kuwepo nje ya jukwaa Leo nimeamua kurudi kutoa maoni yangu na kushirikiana na wanajukwaa katika kujenga na kukosoa yale yasiofaa. Kama kichwa Cha habari kinavyouliza hapo juu, Wakuu, Je! tumeamua kumfuga huyu chatu na KUMRUHUSU...
  18. Stability

    JamiiForums Tanzania Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

    Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu. Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Andunje mpenda Magoli. Huyu jamaa hatumpendi lakini tukubali. He is something. Hapoi , Haboi

  20. N

    JamiiForums Tanzania Ananisumbua sana huyu mwanamke

    Wakuu Nina ndoa ya miaka 10 wife ana sumbua sana anataka tuachane sababu siijui amekubali na dharau sana anafai nimpe nauli arudi kwao hanitaki tena. Tumezaa watoto watatu tunaishi Mwanza, yeye kwao ni Mbeya na mimi kwetu Singida. Nipeni ushauri wakuu. Tumejenga nyumba moja na biashara ya duka
Back
Top Bottom