PICHA: Huyu hapa mfanyakazi bora

PICHA: Huyu hapa mfanyakazi bora

Uelekeo555

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2024
Posts
300
Reaction score
201
IMG-20260501-WA0220(1).jpg

PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025|2026
==
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025|2026.

Menejimenti na watumishi wa kituo hicho wametoa pongezi kwa mchango wake katika maandalizi na uchambuzi wa miradi ya PPP.
 
View attachment 3582626
PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025/2026
==
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025/2026. Menejimenti na watumishi wa kituo hicho wametoa pongezi kwa mchango wake katika maandalizi na uchambuzi wa miradi ya PPP.
Who cares? Best employee wa PPPC anaweza kuwa sawa na worst employee wa Citibank!
 
Back
Top Bottom