Huyu nyoka anaitwa pambe ni mpole sana

Huyu nyoka anaitwa pambe ni mpole sana

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,743
Reaction score
5,092
Kabila la wasukuma humuita pambe nimependa kutumia pande kama kichwa cha uzi kinavojieleza
Nyoka huyu hana nouma kabisa hua anaaibu sana mara nyingi wasukuma humtumia kwenye michezo yao ngoma za kijadi.

Ila ajabu ya nyoka huyu ni kwamba indapo utamchanganya na nyoka wengine basi utakuta wote wamekufa amebaki yeye tu, wasukuma walimpa jina la muua nyoka wameenda mbali zaidi wakampa jina la ntemi maana yake mfalme.

FB_IMG_1777324052815.jpg
 
Kiuhalisia ni nyoka msitaarabu na hana noma

Nikiwa mdogo kuna matukio mawili nilikutana nayo juu ya huyu nyoka
1. Ashawahi kupita katikati ya miguu yangu bila mimi kujua, nilishtuka akiwa anaishilizia mkia
2. I can guess nilikua kama sikuwa na miaka 5/6 basi 7(range 5-9) jioni moja mida ya sa11/12 jua limeanza kuakisi mawingu kubadilika rangi kama inavyokuwa ikifika jioni, siku hiyo nilikuwa nimevaa tu nimejitenga kidogo na home hatua kama 20/30mita.
Nikiwa nimetulia na sijui naweza nini ila ghafla kichwani yaliniijia mawazo kuwa nyoka wawili wanakuja/ I mean wanapita, nilivyo maliza kuwaza haikupita hata sekunde 20 niliona kweli nyoka wa dizaini hii wameongozana, yaani kama binadamu tunavyo tembea tunapokuwa na wapenzi/wapendwa wetu, basi wangekuwa na mikono ningesema walikuwa wameshikana mikono..ile hali sijawahi elewa hadi leo, huwa nawaza ikiwezekana vipi kuwaza kitu before nikione na nikakiona kama nilivyoeleza?? Na iliwezekana vipi wale nyoka kuongozana vile.
Halloo ni tukio au matukio ya siku nyingi ila sijawahi sahau kabisa
 
Hii post inasambaa sana lakini kuna sehemu inapotosha kwamba akichanganya na nyoka wengine basi utakuta wote wamekufa amebaki yeye tu,
Uliza watu walioshuhudia usiseme inapotosha na huna evidence
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom