Mambo yanaenda kasi sana.
Ujuzi ndio kila kitu.
1: Dogo wa kwanza anatengemeza Website, Apps, Systems, na projects zake kama akipata connections ninza mamillioni. Kama haitoshi huwa anawafanyia projects wanafunzi wa mwaka wa mwisgo wa chuo. Huyu anajituma sana, huwa anaingia maktaba ya taifa...
Uelekeo ni mzuri katika ustaarabu wa kuweza kuyasuluhisha mambo bila kupigana kama ilivyozoeleka zamani.
Ni kupevuka kwa akili na kupenda amani kumefanya tuweze kutumia midomo bila silaha, ngumi, mateke, vibao, n.k.
Nakumbuka hapo zamani kulikuwa na mambo ya ubabe wa kishamba sana, kigezo cha...
Imagine unaishi Manzese, Buguruni, Luhanga, Mburahati, Tandika, Keko, Mbagala kwanza asilimia kubwa nyumba zinavuja miundombinu ya mitaa ni mibovu ongezea mifereji ya maji machafu inayotoa harufu watu wanatake opportunity ya mvua kuzibua vyoo very disgusting mitaa inatia kinyaa na hakuna...
Mafuta
Vyakula
Madini
Usafirishaji
Fedha
Media
Elimu
Afya
Dini/kanisa
Michezo
Utalii
Mifugo
Vifaa vya ujenzi
Mimi nimejikita kwenye vyakula? Changamoto zipo ila napambana
Habari za wakati huu wapendwa wana JamiiForums,
Nina imani kabisa hapa kwenye jukwaa kuna watu wazima na wenye elimu walio elimika. Nimekuja hapa kwa lengo la kupata ushauri wa vitu vili vinanipa utata. Mimi ni kijana nimesoma elimu ya form six nikafaulu pia kuendelea na na ngazi za bachelor...
Bwana Ni Mwema Watu Wa Mungu!
Biashara ya dini kwa sasa ndiyo biashara inayolipa asikwambie mtu
Nimemshuhudia jamaa yangu kwa miaka 4 tu amepiga hatua kubwa sana
dogo alianza na mtaji wa watu wachache sana akisali chini ya mti wa mwembe baada ya miezi kadhaa watu {mtaji ukakua} wakaongezeka...
Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi
Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli
Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio...
Wanaukumbi.
ISRAEL ON HIGH ALERT - YAFUNGA MABALOZI 28
Kujibu vitisho vilivyoongezeka kutoka kwa Iran baada ya IDF kuwaua maafisa wakuu nchini Syria, balozi 28 za Israel na balozi ndogo duniani zimeripotiwa kufungwa kwa muda - zikiwemo Azerbaijan, Bahrain, Misri, Jordan, Morocco, na...
Kuna baadhi ya majani tumeamua kuyatunuku cheo kwamba ni mboga za kushushia na chakula.
Ila mimi nazipinga.
Mfano:
Majani ya maboga
Kisamvu
Mchunga
Majani ya kunde
Matembele
Mlenda
Mengine nimesahau majina.
Tuache kuyapakazia kuwa ni mboga, tunayasingiziq na hayana manufaa yoyote mwili bali...
Habari.
Mashabiki Wa Dar Young Africans Atuongei Kabisa Wala Kupiga Kelele Ambazo Hazina Maana Katika Kukuza Sector Wa Mpira Wetu Hapa Tanzania Na Africa Kwa Ujumla.
Imekuwa Tofauti Hivyo Ubora Na Mafanikio Yanayofanywa Na Mabingwa Young Africans Yamekuwa Yakijieleza Yenyewe Moja Kwa Moja...
Habari zenu. tunapunguza asset ofisini kama zifuatazo:
Asset hizo na bei zake kama ifuatavyo:
1.Pressure washer tzs 150,000 (laki moja na hamsini elfu)
2.Tube filler -mashine ya kujazia vifungashio vyenye mdomo mdogo
tzs 600,000 (Laki sita)
3.Computer Apple All in One (Huhitaji CPU)
tzs...
Huu ni ukweli mchungu, zama zimebadilika
Vijana mnaomaliza chuo mjifunze kutengeneza content zitakazotrend hasa za kuelimisha, kufundisha, kuburudisha na kuchekesha watu..
huko ndipo kuna fursa za dili nyingi zama hizi
KAMA UNA SIFA HIZI BASI HUWEZI KUTEGEMEWA, HAIRISHA HATA KUWA NA FAMILIA 😔
1.Kila changamoto inakuliza na kukuumiza.
2.Mtu wa kulalamika tu.
3.Unaishi kijanja janja kukwepa majukumu.
4 .Hutaki kuwajibika kwa makosa yako.
5.Mtu wa kususa hovyo.
6.Unajitetea sana
7.Bado una utoto wa kutaka kila...
KAMA UNA SIFA HIZI BASI HUWEZI KUTEGEMEWA, HAIRISHA HATA KUWA NA FAMILIA 😔
1. Kila changamoto inakuliza na kukuumiza.
2. Mtu wa kulalamika tu.
3. Unaishi kijanja janja kukwepa majukumu.
4. Hutaki kuwajibika kwa makosa yako.
5. Mtu wa kususa hovyo.
6. Unajitetea sana
7. Bado una utoto wa...
Tunafahamu machawa wamekua wengi na wanazidi kuongezeka zifuatazo ni njia za kuwaondoa machawa;-
Kuondoa wakuu wa wilaya
Watu wengi wanakua machawa kwa matarajio kwamba watapata ukuu wa wilaya, kuondoa nafasi ya wakuu wa wilaya ni moja ya njia ya kupambana na tatizo la uchawa
Rais kutokuchagua...
Salaam, shalom!!
1. Tulipokuwa tukisubiri kupokea Mikataba mliyoiita HGA ya mkataba wa Bandari mlisema mikataba hiyo itakuwa wazi italetwa na kujadiliwa bungeni, hatujakaa sawa, tukasikia mikataba imeshasainiwa huko Dodoma kimya kimya na siku hiyo hiyo akateuliwa Katibu Mwenezi wa chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.