Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

mkarimani feki

JF-Expert Member
Nov 8, 2023
302
1,136
Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.

Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.

Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini

1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6. NBS
7. TFRA
8. HAZINA
9. WORLD VISION
10. TCRA
11. LATRA& WCF
 
Sijui nikupangie hata taasisi bora ? Utashangaa sana hasa hapo ni 4 tu za maana ...

TISS ni ndoto na watu wanapata wanachomolewq tu kweny ofisi yeyote kutokana na nidhamu zao...Wanapelekwa mafunzo.

Uzuri wa TISS ni mmoja pesa za kutosha kazi chache ...Mda wa free ni mwingi ukipata tasks nzito ujue kuna posho za ziada.
 
unafikiri kupata kazi TISS ni rahisi ?
 
watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za buhigwe ,namtumbo na simiyu ama na mashirika uchwara .

ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.

mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini

1.TRA
2.BOT
3.DCEA
4.TISS
5.IMMIGRATION
6.NBS
7.TFRA
8.HAZINA
9.WORLD VISION
10.TCRA
11.DANISH REFUGEE COUNCIL
Acha uoga kijana.
Mbona mambo ya kawaida sana hayo.
Usiwahadae wenzako.
 
Sijui nikupangie hata taasisi bora ? Utashangaa sana hasa hapo ni 4 tu za maana ...

TISS ni ndoto na watu wanapata wanachomolewq tu kweny ofisi yeyote kutokana na nidhamu zao...Wanapelekwa mafunzo.

Uzuri wa TISS ni mmoja pesa za kutosha kazi chache ...Mda wa free ni mwingi ukipata tasks nzito ujue kuna posho za ziada.

Inategemea na kitengo ila uhalisia hauko hivyo. Wengi wanapenda Ile prestige lakini marupurupu hapana.
 
si

sio poa mi nawanangu tumezungusha sana bahasha ,na nauli za usahili huko
Maisha,nyakati,uhitaji,elimu na mabadiliko kadhaa kidunia yanachangia.Nakumbuka nilipomaliza kidato cha nne tu,wiki iloyofuata nikapata kazi ya ukarani kwenye kampuni ya tumbaku/Dimon.Na hata nilipohitimu kidato cha sita baada ya mwezi nikaajiriwa wilaya fulani Nyanda za juu kusini.Na bado nikawa siitaki wilaya hiyo kwa visingizio vya kitoto.Je,leo kuna mtu atafanya hivyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom