Kuna kitu tunafichwa Simba SC kuhusu hizi sajili

Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
11,019
16,451
Timu imekua na usajili wa hovyo sana, wacheza wanaosajiliwa wengi ni free agent, nina mashaka kama ni pendekezo la kocha. Sijui kama kuna kitengo cha scouting kinafanya kazi yake vizuri.

Hapa ndipo ninapomkumbuka marehemu Zakaria Hans Poppe ni kama simba mzigo (pesa) hakuna.

Siku hizi wanachezesha kamari ya shabiki bingwa muda sio mrefu ukweli utajulikana.
 
simba walipewa $ 1m kwa ajili ya maandalizi ya african football league, jiulize hizo pesa zilienda wapi.......

yani $ 1m usajili waliofanya sijui kama walitumia hata tshs 300m,....... pale simba kuna wahuni wanapiga sana pesa!
 
Yaani haieleweki..
 
Kwahiyo timu haina matumizi mengine ya pesa ziko tu kwa ajili yakusubiri usajili.Kuendesha timu sio kitu rahisi kama tunavyofikiria.
 
Back
Top Bottom