hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ipambanie hela za kujikimu kwa Watumishi katika Halmashauri hizi

    Najua hii ni platform ambayo ninaweza sikilizwa kilio changu kama Mtumishi wa Umma ambae napitia kipindi kigumu. Waziri wa TAMISEMI Mchengerwa aliahidi angepambana na Wakurugenzi wa Halmashauri ambao hawatoi hela ya kujikimu kwa watumishi. Till date mambo sio mambo, maisha ni magumu sana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi, Mikongeni iliyopo Pugu ni mfano mzuri wa shule zote za msingi za serikali zinavyopaswa kuwepo zama hizi

    Video inaonesha na kueleza vizuri shule ya msingi Mikongeni, ambayo ni Shule ya Msingi ya Umma (Inamilikiwa na Serikali) yenye Mchepuo wa Kiingereza. Shule ni nzuri kwa miundombinu yote. Hata hizi shule za binafsi tunazowapeleka watoto wetu wa kisasa kina Juniour na kulipishwa ada milioni...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wanaokamata magari yanayoharibika barabarani ni kina nani?

    Kuna mambo yanatokea watu wanakaa kimya inasikitishaa sana Kuna mradii sijui wa nani yaan gari isiaribikee njian dk 😱 wako na breakdown wanavuta gariyako Inasikitisha sana naamini manispaa mkooo mnajua hawaa watu ushauri tu waonywe waondoke kuna siku mtasikia mambo ya ajabu watanzania...
  4. Sexer

    JamiiForums Tanzania Hizi blender za Kenwood ambazo zimezagaa mtaani ni Original kweli?

    Wakuu, Kuna hizi blender za Kenwood ambazo maduka mengi tu mtaani wanaziuza Tena kwa bei rafiki kwelikweli, je hizi blender ni Kenwood kama Kenwood tunayoifahamu au mchina keshafanya yake? Na je zinadumu kama tuijuavyo Kenwood? Make nimesikia mtu anasema Zina shida ya kuvuja lile jagi lake
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi tusomeshe watoto waje kujiajiri kwa taaluma walizosomea au kuajiriwa, biashara kwa hapa Tanzania zataka moyo

    Tangu nimezaliwa 1980s mwishoni nimeshaona wafanya biashara wengi sana wakifirisika, kufunga biashara, mtu anaenda dukani kila siku asubuhi hadi jioni hana muda wa familia, kurudishwa nyuma kwa maduka kuungua au kuibiwa, umafia katika biashara, n.k. Lakini kwa wakati huo huo niliona waajiriwa...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hizi movies zina maudhui ya kufanana, ipi ni bora kuliko nyingine?

    1: Jason Bourne vs Mission Impossible 2: Into The Blue vs Fool's Gold 3: Batman v Superman: Dawn of Justice vs Captain America: Civil War. 4: Snow White and the Huntsman vs Mirror Mirror 5: White House Down vs Olympic Has Fallen
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kiongozi ni sifa ila ukikosa sifa moja wapo kati ya hizi haufai kuwa kiongozi na ondoka madarakani

    Uongozi sio tunu wala sio nguo kwa hisani utapatiwa ila ni nidhamu pamoja ushawishi wa kimamlaka ambapo unatakiwa kuvionesha hata kabla haujafika katika ngazi ya uongozi,leo nitaorodhesha sifa tano ambazo kiongozi unatakiwa kuwa nazo hata kabla hujaomba ridhaa ya kuwa mgombea. 1. Nguvu ya...
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

    Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake. Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima...
  9. covid 19

    JamiiForums Tanzania Kuna mmama alikuwa ananiangalia sana hadi nikajishtukia, nilipomchunguza vizuri nikagundua ni class mate wangu

    Hawa wenzetu wanazeeka haraka sana jamani jana nilikuta na class mate wangu ila ilikuwa ngumu sana kumgundua hadi nilipo mchunguza kwa makini ndio kuja kugubdua ni class mate wangu wa sekondari 2006 2010 ila ni mmama kabisa yaani yule after 4 to 5 atakuwa na wajukuu kabisa. Sasa kuna rafiki...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chawa wengi siku hizi wanakula mihogo Coco Beach? Ni ugumu wa maisha au mihogo inaongeza uwezo wakujipendekeza?

    Wasanii wengi wasio na fruiful content wanakesha Coco beach kula mihogo. Akaunti zao utazitambua kwa picha na clips za kusifia hata pasipohitaji kusifia. Naamini mmiliki wa Chimbo la mihogo hana uwezo wa kiuchumi kuwalipa wasanii hawa kwa wingi wao. Ni aidha wanatumia jina lake kujibrand au...
  11. Labani og

    JamiiForums Tanzania African soccer zone: hizi ni timu zitakazoshinda CAFCL Simba ya mwisho

    Probability of winning the 2023/24 CAF Champions League according to Africa Soccer Zone.👀🏆 Mamelodi.,........24% Al ahly........20% esperence ....14% Petro atletico 12% Young Africans .....10 % Tp mazembe.......6% Simba ........6% Source...... African soccer zone 😂😂 #TotalEnergiesCAFCL #CAFCL
  12. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili, ya nne na ya sita zimeleta fujo kwenye usafiri wa umma

    Awamu ya pili ilileta fujo za daladala kwa mara ya kwanza Tanzania, iliruhusu fujo, iliondoa usafiri wa kimpangilio uliokuwepo wa UDA na kuruhusu fujo za daladala. Awamu ya 4 iliruhusu bodaboda kwa mara ya kwanza kwenye nchi yetu na kuleta fujo, leo hii kila mtu karibia ni mhanga wa fujo...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kama unatumia Apps hizi kwenye kifaa chako cha Android, ziondoe haraka. Ni hatari! | Xamalicious, a new dangerous Android 'copycat app'

    Wakati watumiaji wa Android walipoambiwa kuchungza vifaa vyao kwa programu (Apllications) zenye hatari kubwa ya kuwa na Wadudu (Malware) wa "SpyLoan" wasio salama, tishio jipya lilijitokeza kwa jina la "Xamalicious," mlango wa nyuma uligundulika hivi karibuni katika programu kadhaa kwenye Google...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Haya majenereta yanaweza kutoa na kupeleka maji umbali gani?

    Jamani nimeambatanisha picha za maelezo ya generator mbili za kuvuta na kusukuma maji .Naomba mtaalamu aniambie generator hizi Kila Moja inaweza kuvuta maki kutoka vhanzo kwa umbali Gani na kutupa majo Kwa umbali Gani?na kiwango cha maji yakusukumwa kwa dakika ni kiasi gani?
  15. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hizi media house zinazopiga kwaya asubuhi hawaoni kuwa ni udini? Wakristo wengi tunachukizwa sana

    Nyie media house ambao kutwa adubuhi na mapema mnaanza na kupiga kwaya za kikristo mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo na tunaona huo ni.udini mkubwa sana kwanini hata siku moja moja mkaweka mawaidha mtapungukiwa nini? Hamuoni huo ni udini Sisi kanisa ni mwanzo na mwisho kuanzia leo...
  16. Labani og

    JamiiForums Tanzania Je, hizi goli Tano Tano za Yanga ✋ Zina reflect vipi ligi yetu?

    Baada ya kuona dozi nzito zinatolewa na wananchi ...de Yanga Kwa timu pinzani nimeona nifanye research kidogo Kwa kuwashirikisha ndugu zangu humu Tujikumbushe...hizi ndizo baadhi ya timu zilizochezea ✋ Kwa Yanga Simba Kmc Ihefu Je unadhani hivi vichapo vinaashiria Nini kwenye ligi yetu?? Hizi...
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Aina mbalimbali za mbwa. Jamii ipi unaikubali sana kati ya hizi?

    Naanza na boss mwenyewe kabisa.
  18. ward41

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa wabaya sana?

    Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa waovu Sana. Wanawake wengi wamejaa ujeuri, umalaya, roho mbaya, uongo, Ukatili, kukosa utu, kupenda pesa kupita kiasi. Mbona wanawake miaka ya 2000 down hawakuwa hivyo. Hizi tabia siku wamezitoa wapi. Wanawake wamekuwa vyanzo vikubwa vya uvunjifu wa...
  19. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Hadi hapa Yanga ni Bingwa Msimu huu wa 2023/2024, Kwa Sababu Kuu hizi 2.

    Habari Mwana-Jukwaa La Sports. Nianze Kwa kusema Soka La Afrika linatofauti Kubwa sana Na Soka La Ulaya ambapo uwekezaji ni Mkubwa na Mchezo huu umepiga hatua kubwa sana. Ulaya kwenye Nchi zenye Ligi Kubwa na Maarfu kama Vile England,Spain,Italy,Ujerumani,Ufaransa,Ureno,Uholanzi na Mataifa...
  20. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kijana kama ni bachela acha na hizi starehe utafanikiwa sana

    Kuna haya mambo nimeyaona kwenye jamii ya vijana wa sasa wanayakosea sana bila wao kujua ama kujua hapa naongea na vijana ambao wapo siriazi kujenga maisha yao ya kesho Ugumu wa maisha umesababisha watu kuwa na stress sana hivyo kupelekea watu wengi kukosa utulivu wa akili Ushauri wangu kwa...
Back
Top Bottom