sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Introverts ni watu wanaopenda kuwa peke yao ama kuwa na circle ndogo sana ya watu, ni aidha wana aibu, wakimya, wana ulemavu wa mawasiliano, n.k. hivyo kupelekea wao kuwa na uwezo mdogo wa kusocialize, Watu hawa huchukuliwa kimakosa kwamba wana viburi au wana jeuri,
Kazi hizi zinawafaa.
Kumiliki duka / maduka na kuweka wafanyakazi - Simple and easy ila inahitaji mtaji, mweke kijana extrovert akupigie kazi wewe involvement yako ni ndogo sana kurenew leseni, kufunga hesabu, kuhesabu stock, kuverify stock, n.k. Teknolojia imekuwa sana sikuhizi waweza kuweka cctv kumonitor baadhi ya mambo.
Kuandika - Yaweza kuwa kuandika story, biography, uchambuzi, n.k. mitandao imefanya kazi hizi zizidi kuongeza soko, kuna haya magroup ya whatsapp mtu akiwa mtunzi mzuri wa story mnamlipa elf 5 kila mwezi, niliwahi kuwa sehemu ya hizi group na tulikuwa members kama 300 hivi,
IT - Kama una malengo ya kusomea kazi yako basi chuoni kozi ya IT itakufaa sana, Si hapa kwetu tu bali hata ulaya na marekani introverts wengi wanapenda kazi za IT, Kwetu hapa bongo ofisi za IT ni kawaida kukuta zina watu wawili ama mtu moja tu ofisini kwake, akiitwa kurekebisha tatizo maongezi huwa ni 5% kazi 95% akimaliza anarudi ofisni kwake, kuna kazi za IT kama system administrator hii inawafaa sana wasiotaka kuchangamana kabisa, muda wote mtu upo ofisini una monitor system, server ikisumbua unarekebisha mwenyewe, hakuna haja ya kuongea na wengine.