hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi hatuna wazalendo wenye nyadhifa za juu kwenye majeshi yetu?

    Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Endapo Nchimbi atatakiwa kuachia Umakamu, tutumie fursa hii kuchochea Uhuru wa Tanganyika.

    Tukio hili litakuwa tukio la aina yake na ni fursa ya kipekee kudai uhuru wa Tanganyika kama nchi Huru. Tuitumie hii fursa kufanya kampeni ya ghafla kuhamasisha Utaifa wa Tanganyika, kufufua Bendera ya Tanganyika na hata kuandaa Waraka wa uhuru na Rasimu ya katiba ya Tanganyika
  3. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Hii barter trade ya kisiasa inafaa sana na izingatiwe!

  4. L

    JamiiForums Tanzania Nchi hii kila kitu ni ujingaujinga tu

    Inasikitisha sana Kwa kweli kwa nchi ilipofikia. Imekua nchi ya mfano kwa miaka mingi. 1) Ilikuwa nchi ya mfano kwa kupigania haki ya watu wengine duniani kote walikokua wanaonewa na watawala wa wa hovyo. 2) Sasa imekuwa nchi ya mfano wa mambo ya hovyohovyo na ya kijingajinga hapa duniani...
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa anaishi Marekani kwa mke na watoto wake Leo hii watumishi wa umma wangekuwa mbali sana kiuchumi.

    Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida. Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo. Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
  6. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Lissu haponi kesi hii

    Nimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu. Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya fukwe za Bahari Mbezi Beach (Jangwani) haziridhishi; Tutaenda na hali hii AFCON?

    Kwa takribani siku tatu nilikuwa kikazi kwenye hoteli moja iliyopo Mbezi Beach. Jumapili, Agosti 16, 2026, kabla ya kumaliza siku zangu za kuwepo hapo, nilijipa muda wa kutembelea fukwe za bahari za Mbezi Beach, upande wa chini wa mitaa ya Jangwani. Nilikuwa sijafika maeneo hayo kwa takribani...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ona kosa la msimamizi wa haki. Kama anaweza kufaya hii akijua inakwenda hadharani, ya ndani je! Tarehe ya hukumu! Mwezi wa 19 & 21 Septembr, 2026

    Najua inaweza kuwa oversight, akapitiwa, lakini kwenye kitu sensitive kama hiki ku determine RIGHTS za watu hapashwi kufanya kosa hili!, kupitiwa. Ya ndani tusiyoyaona yakoje? Anapoandika proceedings anaandika vitu gani? vina reflect wanachokisema parties and their witnesses correctly? This is...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni hujuma? Siku moja baada ya bwawa la JNHHP kuzinduliwa umeme unakatika

    Tangu saa kumi mpaka sasa tunasubiri kuangalia mechi kati ya Azam na Pamba Jiji. Umeme umekatika nchi nzima. Habari tulizoambia kuna mega watt 2115 ni kama kupiga ndulu tu.
  10. aise

    JamiiForums Tanzania Nahitaji hii mimea Kwa mwenye nayo Leo nahitaji

    Habari za weekend wakuu, nahitaji hii mimea mmoja ni Anubias Nana, na mwingine ni Pothos Kama unayo naomba tuwasiliane kujua bei na jinsi nitakavyoipata 👋
  11. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya walimu kupiga wanafunzi mpaka kuwaua

    Frustration, Frustration, Frustration. Asilimia 60% ya walimu wamekata Tamaa, tena Frastruation zao sio kwasababu ya mshahara, hapana Frustration kutoka kwa Mkuu wa shule, mwenyekiti wa mtaa, Diwani, MEK na watumishi wote wa halmashauri wanaweza kumpiga kofi mwalimu. Imagine Mwl anafundisha...
  12. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hii video ya wasira inaonyesha taswira halisi ya ngozi nyeusi

    Msikilizeni huyu mzee akipigania ubunge dhidi ya Ester
  13. Waterloo

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hatutaipigia magoti Serikali hii dhalimu ya CCM

    "Wanachadema kafanyeni kazi, huu uamuzi umesikitisha lakini ni wa muhimu na wa kihistoria ambao huko mbeleni watu wengine wataangalia na kusoma majina yao, watajiuliza itakuwaje." Mhe. @HecheJohn John Heche na Tundu Lissu ni hardliners wa siasa za upinzani hapa nchini kwa sasa. Wacha tuone huu...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna Sh 200 feki, nimekutana nazo mara kadhaa Dar, Serikali iangalie hii

    Hizi mia mbili zimekuwa nyingi na zinaonekana kama siyo halali, hapo kwenye clip kuna miambili original na feki, sasa feki ziko nyingi tunaomba serikali ifatilie hili maana zimezidi kuwa nyingi. Feki unazitambua zina mlio kama hela za zaman zile shilingi ,ukizipiganisha na za sasa utaitambua tu...
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii fedha ina miaka 70 lakini iko kwenye Quality ile ile.

    Sijui ilipita kwenye mikono ya watu wangapi na ilifanya biashara gani lakini iko kwenye Quality ile ile.
  16. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania FINALLY FRIDAY🎊: unaipokeaje hii weekend mkuu? Salama? Kwema?

    Yeah maisha magumu Kila kona gharama zimekuwa ngumu All in all, isikunyime nafasi ya kujinafasi. Utaibukia beach? Movies? Plaza? Pub? Club? Home na familia? ENJOY YOUR WEEKEND.
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kwamba muda kadhaa jela au faini kiasi fulani?

    Kwamba ushahidi na utetezi inaonesha si kosa moja kwa moja Iła viashiria vya kosa hilo, Hivyo waamuzi wanasema muda jela au lipa kiasi fulan Hii umaanisha nini? Britanicca
  18. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hii ndo maana halisi ya "Rule of Law" tuheshimu Sheria za Nchi hakuna msalia mtume kwenye kusimamia maadili ya Taifa

    Kauli za wanasiasa wasio na Maadili zinaathari kubwa sana kwenye ustawi wa Taifa letu, Leo hii serikali imerudi nyuma kutengeneza miundombinu ambayo ilishamalizana nayo kitambo kwasababu ya kauli za hovyo za viongozi wajinga na wapumbavu so paining 😭 Sheria zipo na hazimuogopi mtu. Mtu mmoja...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Je, hatua hii ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani?

    Japo mimi sio nwanasheria, ila najiuliza kama ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani kutoa ushahidi kwani alishawataja katika hatua za awali na mawakili wa Serikali hawakupinga. Sasa swali: Kama hawakupinga mashahidi aliowataja Lissu katika mahakama ya...
  20. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Leo ligi kuu inaanza, fungua link hii iliyomo JF maalum kwa ajili ya msimu huu wa EPL

    Arsenal kila la kheri https://www.jamiiforums.com/threads/english-premier-league-uzi-maalum-wa-msimu-2026-2027.2455265/
Back
Top Bottom