hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtumishi anapohama asilimia za utendaji katika mfumo wa PEPMIS zinarudi 0, hii inaumiza

    Watumishi wanaohama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine wanakabiliwa na changamoto ya mfumo wa PEPMIS, ambapo wanapohamishwa, asilimia zao za utendaji kazi zinaonekana kuanza upya kutoka sifuri, hata kama mtumishi alikuwa amefikisha, kwa mfano, asilimia 60 katika Halmashauri aliyotoka. Hali...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuielewa sheria hii ya mafuta na gesi anieleweshe. Sikiliza clip toka Bungeni

    Changu changu , chako chetu
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Henry Kilewo: CHADEMA ya sasa sio ile iliyopita, hii achaneni nayo

    Kada wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Henry Kilewo, amewataka wanaojiita watawala kuachana na madalali wa kisiasa wanaowadanganya kuwa wanaweza kukigawa chama hicho. Kupitia chapisho aliloliweka katika...
  4. Supapawa

    JamiiForums Tanzania Kwa karne hii mahari ni kitu outdated, tusiwauze mabinti!

    Kwa sasa ulipwaji wa mahari pale mtu anapooa ni kitu kisichofaa kabisa. Sasa hivi ndoa ni ya mke na mume (wanakaa peke yao), Wala haiingiliwi na ndugh wammume. Zamani mtu akioa anampeleka mkewe nyumbani kwao, na Kwa kiasi fulani yule mke ni kama anapigika kikazi. Aidha, zamani binti...
  5. Trainee

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kuna mambo wewe unajua yamebaki stori lakini kumbe kuna maeneo ukienda unakuta watu wanayaishi bado!

    Mtandao na internet Kuna maeneo Bado watu wanajitega kwa ajili ya kupiga simu na kuingia internet Tigo na kujimwambafai kote Kuna maeneo Bado ni bilabila Barabara na uchukuzi Kuna maeneo Tanzania hii hii kipindi cha mvua wanakata muingiliano/mawasiliano ya kutoka na kuingia mpaka mvua...
  6. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Nimeshtukaa! Kumbe wanawake wa Tarime wana Mikia namna hii!.

    Happy New Month, Guys, nilikua Tarime for few days, sasa siku ya jumapili tukasema tujipongeze before hatujaondoka, nikauliza kiwanja kinachobamba nikaambiwa CMG Hotel, wakapasifia weeh sijui Mondi ndio anapolala blah blah blah, nikasema poa, sikua peke yangu nilikua na jopo la wafanyakazi...
  7. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Hii si reflection nzuri kwa nchi yetu

    Wakuu Yan kwa tulipofikia kama nchi sasa hivi mtu(mwanaharakati) akikamatwa na polisi maombi yanabaki nyuma kwamba hasiuawe yn mtu anakamatwa na chombo chenye dhamana ya ulinzi na usalama lakin watu wanapata hofu na mashaka juu ya uhai wake na afya yake kwa ujumla hili jambo sio zuri kabsa...
  8. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hii kampuni ya bety ya sportbet imenidhulumu aisee.

    Halo vip! Moja kwa moja kwenye mada husika ni hivi nimesuka mkeka wangu. Na Ila baada ya timu zote kutoa Na walikuwa wananiletea cash out nakaa. Sasa wameamua kuchana mkeka wangu kwa makusudi. Ni hivi Luna match mbili nimeweka 1.5 Na match yakwanza imeisha kwa 1-1 Na match ya pili imeisha...
  9. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Hii combo ya lugha ya kichina na udereva class E inaweza kumtoa mtu kimaisha?

    Kutumia mwaka mmoja kusoma lugha ya kichina na kuwa na fani ya udereva wa gari. Kwa lengo la kufanya kazi na wachina maeneo mbalimbali inaweza kumtoa mtu kimaisha. Mwaka mmoja unatosha mtu kujifunza lugha ya kichina na kuwa mtaalamu wa lugha husika? Karibuni sana kwa mawazo na ushauri.
  10. Keynez

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua, baada ya hii kesi ya Uhaini, hawataweza tena kumkamata wala kumshitaki Tundu Lissu?

    Kwa miaka mingi serikali kuanzia za Mkapa hadi Samia zilikuwa zinasumbuana na Tundu Lissu, kwa kumkamata na wakati mwingine kumshitaki kwa tuhuma mbalimbali na baadae kumuachia. Kitendo cha kufika kumkamata na kumshitaki kwa kesi ya Uhaini ambayo ni kesi kubwa zaidi katika Katiba ya JMT...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Eti, frame kama hii KariaKoo ni Tsh ngapi?

  12. K

    JamiiForums Tanzania Hebu Tazama. Hii Ndiyo 'Cream' ya Uongozi wa Taifa Hili.

    Inawezekana wengi wetu (waTanzania), kama nilivyokuwa mimi hatuwajui watu ambao ndio viongozi wa nchi hii kupitia chini ya CCM. Hawa ndio wanapofanya kikao na kufanya maamuzi, taifa zima linazizima; kwa sababu maamuzi yaondiyo kila kitu kwa mwelekeo wa taifa hili. Labda 'niqualify' tu kwamba ni...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hebu Tazama. Hii Ndiyo 'Cream' ya Uongozi wa Taifa Hili.

    Inawezekana wengi wetu (waTanzania), kama nilivyokuwa mimi hatuwajui watu ambao ndio viongozi wa nchi hii kupitia chini ya CCM. Hawa ndio wanapofanya kikao na kufanya maamuzi, taifa zima linazizima; kwa sababu maamuzi yaondiyo kila kitu kwa mwelekeo wa taifa hili. Labda 'niqualify' tu kwamba ni...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mm ni kilaza lakini Nchimbi yupo lockdown hata barua hakuandika yeye (hii ni nimeipata sehemu)

    Kutoka jikooni ,nchibi yupo lock down cm zake zinashikiliwa na mamlaka Alicheza kalata vzr ila Amesalitiwa mwishoni Huo ndo ukweli
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

    https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfG Kwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi.. Inasemekana...
  16. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii bundiki ndio imetumika na kuuzwa zaidi Dunia na imeleta maafa ya kutisha.

  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Labda safari hii mradi wa Liganga-Mchuchuma utaanza kweli

    Kampuni ya kichina iliyowekeza kwenye mradi huu imemaliza upembuzi. Inatarajia kuanza kazi serious mwishoni mwa mwaka huu. Mchuchuma kuna makaa ya mawe tani milioni 428. Mradi unategemea kuzalisha tani milioni 3 kwa mwaka na kuwa na mradi wa umeme wa makaa wa 600MW Huko Liganga kuna madini...
  18. mirindimo

    JamiiForums Tanzania CCM HII SCRIPT ITAWACOST

  19. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Nikiulizwa Leo Unahitaji Nini Kwenye NChi Yako

    Ninachokihitaji kiko sehemu ya Utangulizi wa Katiba ya JMT 1977, Kuna maneno ambayo yamepewa kichwa cha MISINGI YA KATIBA. Yanasomeka kama ifuatavyo. MISINGI YA KATIBA KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii...
Back
Top Bottom