- Source #1
- View Source #1
- Tunachokijua
- Mtumiaji mmoja wa mtandao wa X alichapisha picha iliyoonesha kikundi cha watu wenye asili ya Kimasai na kueleza kuwa watu hao ni Wamasai wakisikiliza redio kwa mara ya kwanza mwaka 1950.
Ufuatiliaji wa JamiiCheck umebaini kuwa picha hiyo si halisi na imetengenezwa kwa kutumia teknolojia ya Akili Unde na si picha halisi.
Picha za AI zinaweza zinaweza kutumika kusambaza madai ya uongo kuhusu historia hivyo ni muhimu kuthibitisha kabla ya kusambaza.