CCM wa siku hizi hawana akili kabisa.
Eti walishinda uchaguzi kwa 98% na kupata kura milioni 31 kati ya milioni 32 [jambo ambalo ni la uongo] zilizopigwa!
Hata mwaka haujapita, wameshaanza kufukuzana, kuvuana uanachama, na hata kutekana na kuuana.
Mimi sijawahi kuona wala kusikia mahali...