Ifike mahali tuanze kuona uwajibikaji nchini kwenye mambo ya aibu kama haya ya National blackout concerning umeme wa gridi ya taifa. Emergency response system ya matatizo ya kimiundombinu kama haya yaliyotokea ilipaswa iwepo. Hatuwezi nchi nzima tukakaa saa 3 bila umeme na watu wapo tu maofisini.
Tuanze kuona assessment ya athari ya hii national blackout ikiwekwa wazi na pia hapo Tanesco kujumlisha na wizara ya Nishati, watu waanze kuwajibika. Huwezi kukuta nchi zinazoendelea zikivumilia mambo kama haya.
Vulnerabilities ni nyingi kwenye jambo kama hili. Security wise hatuko safe, Economic wise kuna production inapungua na mifumo mbali mbali ya pesa haifanyi kazi vizuri bila umeme. Socially, jamii inakaa in distress.
Waziri na katibu mkuu kama vipi wapumzike.