Hii ni “allergy” au ugonjwa gani?

Hii ni “allergy” au ugonjwa gani?

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,594
Reaction score
1,863
Jana nilala mchana kidogo kama dakika 20 gafla nimeamka nakuta mdomo umevimba upande wajuu uliobeba meno ya mbele! kama nimepigwa ngumi au kung’atwa na nyuki!

Leo tuna hapa napoandika nimesinzia kama dakika 10 tuu naamka tayari umesha vimba tena zaidi ya jana!

Ushauri tafadhali..!
 
Hakika
 
Attachments

  • IMG_3601.jpeg
    IMG_3601.jpeg
    148.7 KB · Views: 5
Itakuwa alergy hasa ya mafuta yaliyotumika kwenye chakula. Ila kwa uhakika zaid kamwone daktari aliye karibu nawewe
 
Jana nilala mchana kidogo kama dakika 20 gafla nimeamka nakuta mdomo umevimba upande wajuu uliobeba meno ya mbele! kama nimepigwa ngumi au kung’atwa na nyuki!

Leo tuna hapa napoandika nimesinzia kama dakika 10 tuu naamka tayari umesha vimba tena zaidi ya jana!

Ushauri tafadhali..!
AI itakupa ushauri mzuri
 
Back
Top Bottom