Wikiendi hii tuende wapi?

Wikiendi hii tuende wapi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,357
Reaction score
62,604
Maisha ni kujipa furaha pale unapopata nafasi, maisha hayahitaji usiriazi sanaa, kama vile unataka kuvumbua sayari yako.

Yote yanapita, muhimu kuipa furaha nafsi kwa kuwa wote tunaishi mara moja.

Nipo tayari kwa mtoko wa wikiendi.

Wananzengo, wikiendi hii tuende wapi?​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom