King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Kuna hawa jamaa ukiwaongeleaga wadogo zao wa kike au dada zao Huwa wanakasirikaga ?
Mfano mimi Kuna mwanangu mmoja ukimtaja tu dada ake jamaa ananuna ......,yani ukimuambia tu dada ako ni pisi haongei na wewe siku nzima au ukimuambia mdogo wako nimemuelewa anamind
Hii inasababishwa na...
Makampuni hayatoi mikataba siku hizi,mtu unafanya kazi kama kibarua yaani unalipwa kwa siku.
Hakuna benefits zozote kama bima ya afya wala mifuko ya hifadhi.
Kwa makampuni yanayotoa mikataba ni kwamba wanatafuta kampuni nyingine ndio inakua kama imekuajiri.
Yaani unafanya kazi kampuni A...
Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja.
Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
My Take
Watu wanaojiita wasomi wengi wao wamejaza takataka kichwani na hawana uwezo kabisa wa kufikiri.
https://www.instagram.com/p/DcO_yRZlmax/?igsh=OTUyYXZsZTc4MGlw&igsi=OTUyYXZsZTc4MGlw
Kwanza ni usumbufu, mtu kama unakaa zako geza kigamboni, mwanzo ilikua unatoka na gari geza mpaka mkoani kwako, kwasasa itabidi uanze kutoka geza uitafute magufuli.
Tunarudi enzi za miaka ya nyuma za abiria Kuanza kupoteza mizigo, mfano mtu una mizigo Yako umeipakia kwenye bus kutoka rombo...
Mbeya kipindi cha mvua na chenyewe kunakuwa na siku nyingi za bila jua. Moshi leo ni siku ya 4 hatulioni jua. Ni mawingu yametanda tu muda wote hata kama hakuna mvua. Wenyeji wananiambia sometimes inaweza kufika wiki 2-3 pako hivi
Uzuri wa hali kama hii ni kwamba unaweza kutoka nje hata mchana...
Kuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia. Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema:
“Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!”
Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria zinawekwa, matumizi yake yanadhibitiwa, na mwisho wake kile kilichoonekana cha kutisha kinakuwa sehemu...
Ni scum
Ni Mr kuku
Ni ponzi scheme
Ni project ya wanakamati kula pesa zenu alafu wanawapa pilau kuku na soda
Haiwezekani mtu anakuunga kwenye group ghafla anacheka na wewe sio kawaida yake na ameeka fix mchango laki moja.
Alafu usipomchangia anajifanya kukukaushia.
Michango iwe ya...
Katibu wa Baraza la Mawaziri na aliyekuwa Gavana wa Machakos, Alfred Mutua, ameonyesha kushtushwa na hali ya Machakos People’s Park baada ya kutembelea eneo hilo.
Hifadhi hiyo iliwahi kutajwa kama moja ya vivutio muhimu vya utalii katika Kaunti ya Machakos na chanzo cha mapato kwa serikali ya...
Kumekuwepo na machapisho yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yenye nukuu mbalimbali zinazodaiwa kuwa zimetolewa na viongozi wa nchini Tanzania.Moja ya kurasa hizo ni mjadala tv na siasa za kweli ambazo huchapisha maudhui hayo mara kwa mara
Hii ni miongoni mwa blunders za hovyo mno za kisiasa, miongoni mwa wanasiasa waliokosa agenda za kuwashawishi na kuvutia kundi kubwa la wapiga kura kuwa upande wao. Mara nyingi wanasiasa hao husense kushindwa uchaguzi mapema sana.
Na daima,
hatua hii ya kususia uchaguzi, huwa ni sawa na ile ya...
1. Wenye ICD za DAR wapewe VIZIMBA HUKO KWALA halafu ICD za mjini zoote zitoke
SERIKALI aifanye biashara ya ICD ikusanywe Kodi Kwa kukodisha!
2. Kuna NJIA ilikuwa inatumiwa na SGR wakati wa ujenz wake! Iwekewe LAMI iwe ya maroli ya mafuta na ya KUBEBA visivyopelekeka ICD ijengwe mpaka chalinze...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Moja ya sifa za mtu mchawi ni pamoja na hiki ninachokieleza hapa.
Kazi kuangalia nani kaja kwenye msiba nani hajaja.
Nani Kala nani hajala
Nani anafanya nini.
Kufiwa hujafiwa wewe unapeleka mambo yako ya kichawi kwenye misiba ya watu.
Subiri ukifiwa ndio...
Nimemsikiliza MH john heche Makamu ,Mwenyekiti wa CHADEMA akisema imebakia 40m wafike lengo la kukusanya milioni kadhaa za Baraza kuuu takatifu la CHADEMA.
Nashauri,
Mr SUGU na Proffesa J andaeni shooo iitwe tone tone stendaup.
Uwanja wa Taifa Kiingilio kiwe sh 500 tu kwa kila mpenda...
Kafulila: Serikali Haiwezi Kujenga Kila Kitu, Sekta Binafsi Ipewe Nafasi.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema Serikali haiwezi kumudu kugharamia kila aina ya mradi nchini, hasa miradi ya kibiashara, wakati mahitaji ya...
Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
Wanasema ukitaka kuficha kitu kwa mbongo ni weka kwenye maandishi,
Na kwamba kuna wengi wanatamani sana kuongeza maarifa ila kuna changamoto hizi wanapata,
- kukosa muda wa kusoma vitabu.
- lugha changamoto sio kwamba hawajui kizungu ila ni kwamba "hawatak suluba ya kubabaika kuelewa"
nina...
Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina.
Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.