hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Ni familia ya rafiki yangu mmoja. Iki hivi baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki. Akabaki baba na watoto 2. Ila baadae baba yao akazaa na mwanamke mwingine tuu bila ndoa. Jumla akawa na watoto 3. Ila hawakufanikiwa kufunga ndoa. Ila mwaka 1996 alioa...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Yanga wapewe maua yao kwenye kitengo cha Habari lakini tovuti rasmi ni kituko, imekachwa, ina muonekano kama blog za udaku. Mtutolee hii aibu

    Ni kweli Yanga ndio walikuwa na tovuti mapema zaidi kuanzia mwaka 2012 tofauti na Simba walioanza kuwa na tovuti mwaka 2019 lakini kinachoendelea kwenye tovuti ya Yanga ni aibu na wala hakiendani na uzito wa idara ya habari inayofanya makubwa kwenye mitandao ya kijamii. Daima mbele nyuma mwiko...
  3. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania URITHI; Mtoto wa nje alitaka nyumba zote ziuzwe ili apate hela kubwa. Ni shukrani gani hii?

    Habari wana Jamii forum. Ngoja leo nilete hii kesi niliyoishuudia kwa macho yangu. Kulikuwa na Baba mmoja na familia yake wa watoto 4, wapili ni wakiume ambae alimzaa nje na wengine 3 Wandoa wakike alizaa na mkewe. Niliambiwa hivi, Baada ya mkewake kujifungua mtoto wa kwanza ikapita kama...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chukua hii 100% Wachezaji Waandamizi wa Simba SC wakiongozwa na Chama kwa Makusudi Wanamuangusha Kocha kwa Kutumiwa na Kiongozi Mmoja

    Ndani ya Simba SC ya sasa kuna Makundi ya Wachezaji Watatu ambayo ndiyo yanaathiri mwenendo wa Timu Kiujumla Kundi la Kwanza Hili ni lile ambalo kwa Makusudi linaongozwa na Clatous Chama lililo nyuma ya Kiongozi Mmoja mkubwa lenye Lengo la Kumkwamisha Kocha Mkuu Roberto Oliveira. Kundi la Pili...
  5. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mahari Tsh. 2,500,000/-! Niacheni ninunue shamba la kulima mpunga huko Mpanda

    Wakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3. Umri wangu kwa sasa ni miaka 46, nimeamua tu hii pesa nikanunue eneo huko Mpanda Katavi nilime mpunga, nadhani ndani ya miaka yangu...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa elimu hii ya Tanzania tusahau kuhusu uvumbuzi

    Binafsi darasa la kwanza nilianza nikiwa na miaka 13. Hii ni kwasababu ya kimasingira na kimwamko. University nimemaliza nikiwa na miaka 30 na ushehe kidogo, kwakuwa nilipomaliza six nikahangahikia ajira kwanza, uamuzi ambao mpaka kesho naufurahia. Turudi kwenye mada. Tanzania tunasoma kwa...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hii ndio picha yangu ya karne

    Hii picha inaongea mengi kuhusu Africa. Ina maana zaidi ya mia moja. Kila msomaji wa hii picha anaipa maelezo yake kulingana na mazingira na ufahamu wake.
  8. sanalii

    JamiiForums Tanzania Watoto hawapumziki ni kitabu tu, hii imezidi

    Mtoto kasoma mika saba, likizo anakua na tuition, amemaliza la saba, anakaa wiki tatu anarudi kambini tena kwa jina la pre-form one, wazazi watakaa na watoto wao muda gani? Hivi huko kwa wenzetu nako ni mchaka mchaka hivi hivi?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kiimani hii imekaaje: Mwanamke ni pambo ndani ya nyumba

    Kwa ndugu zetu waislamu, mwanamke ni pambo la nyumbani kwa mume wake, haruhusiwi kuonwa na mwanamume mwingine zaidi ya mume wake. Sasa sisi tuna rais mwanamke na siku zote tunaona uso wake, je kiimani hii inaruhusiwa? kama hairuhusiwi, adhabu yake ni ipi? Msikilize shehe hapa...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ukubwa na kukubalika kwa CHADEMA leo hii

    Ni matokeo ya uzalendo usio na shaka, ustahimilivu, uvumilivu, kujitolea bila kujibakiza, mipango na mikakati imara kisera, msimamo thabiti usiyoyumba, kutokukata tamaa kusiko koma, kukosea na kujisahihisha, umahiri na uthubutu usiotetereka wa Statesman FREEMAN AIKAELI MBOWE, mwamba wa siasa za...
  11. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Daktari aliyemkosoa Rais wa Burkina Faso kushindwa kushughulika na ugaidi apelekwa kukabiliana na ugaidi huo

    Wakuu, Habari hii imesambaa kwenye mitandao ya kijamii, kwamba huyu Daktari baada ya kumkosoa Rais wa Burkina Faso Kpt. Ibrahim Traore kuhusu kushindwa kupambana na magaidi, alikamatwa, akavishwa magwanda kwenda kupambana na magaidi hao kwakuwa yeye analiweza suala hilo kuliko jeshi. Hii...
  12. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Mijitu hii iliyoshindikana unaishia kuiambia "STUPID"?

    Ukihitaji salamu soma kwanza hizi nondo, tofauti na hapo utaambulia chuya! Wakazi wa Pemba & Unguja ni wakazi wa jamii ya Kiswahili ambayo hufanya mambo Ki-Goi Goi mnoooo!,Hii imepelekea hata viongozi wanaopatikana kutoka hizo pande mbili kutokuwa na misimamo mikali kama watu wa...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Hayati Magufuli alitupa siri kwanini alipokuwepo hapakuwa na mgao, ni kwanini tunasahau haraka namna hii?

    Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe... https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==...
  14. Desierto

    JamiiForums Tanzania Serikali hii haijali maisha yetu kabisaa

    Kama baba na mama wanakula na kulala vizuri halafu hawajui kabisa watoto wanakula Nini au wamekula Nini, hiyo familia inakuwa ni kama yatima tu Haiwezekani siku mbili hakuna umeme nitaishije Mimi kama maisha yangu yanategemea umeme kila siku, Halafu mnajiita viongozi mnakula na kulala vizuri...
  15. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kuhamisha viongozi waliofeli inazidi kuturudisha nyuma kimaendeleo

    Kuna tabia moja imekuwa inanishangaza sana kwa muda mrefu kuhusu uongozi wetu wa hii nchi. Sijui kwanini tupo hivi ila unakuta kiongozi wa serikali mfano amefanya mambo ya ajabu wizara flani baada ya kugundulika eti ana hamishwa ile wizara anapelekwa wizara nyingine. Mfano mwingine, Unakuta...
  16. Plaintiff

    JamiiForums Tanzania Fundi simu anayeweza kunirekebishia hii simu anicheck

    Simu ni LG G8 thinq Ipo locked na mtandao wa China Unicom. Ukiweka line za Bongo inashika tu 4G muda wote(Hivyo huwezi kupiga simu wala kupokea message). Except kwenye airtel ambapo ukiweka itashika 4g kama kawaida ila ukipiga simu itajishisha kuja 3G na ukimaliza itarudi 4G. Mitandao...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hii picha katika Ajira Mianne kugombea na watu Elfu hamsini na sita sio mchezo !

    Inafikirisha Sana siku ya usahili (TRA) you can't imagine
  18. L

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kufahamu hii movie

    https://www.instagram.com/reel/Cxuu2Oesp7c/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== Anayefahamu hii movie yenye hiki kipande kwenye link naomba anitajie nipakue
  19. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mchoro huu unahusu chama gani cha siasa?

    Nikiwa nafuatilia siasa za Tanzania na hata za east africa, huwa nazingatia zaidi tones, emotions, body language, color ya dress code ya muhusika, colar ya background au mapambo ya jukwaa au ukumbi wa mkutano na mwishowe nakua makini kuwazingatia watu wa karibu walioambatana na mwanasiasa...
Back
Top Bottom