hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Cloutus Chama hana thamani hii

    Kuna mbinu zinatumiwa na mawakala wa wachezaji kupandisha thamani ya wachezaji wao. Ni kuzichagiza timu kubwa na pinzani kwa mchezaji wao. Mfano Chama anaongezewa thamani ambayo hana kwa kumhusisha na Yanga na Simba. Binafsi, Chama ni mchezaji mzuri lakini ni WA kiwango Cha Tanzania na Afrika...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hii kweli halali Hawa mabeberu walichomfanyia huyu bushman

    N!XAU "BUSHMAN" muigizaji aliefanya kazi ya BILIONI 231 kisha akalipwa LAKI SITA
  3. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Hii Logic ipo sahihi..?

    Habari 👋 Wajuzi ningependa kujuzwa zaidi kuhusu hili. It's a geometry of belief, makanisa ya kikatoliki hasa jimbo kuu la mkoa fulani hua limejengwa katikati ya mji. Yaani sehem inapoonyesa kwamba hapa ndio kati ya mji basi kanisa (Jimbo kuu) linakua limejengwa hapo. Sio kwenye clock tower or...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa viongozi wa nchi hii, kuomba mvua ni kupoteza muda tu

    Wananchi wanalia kila kona nchi hii kuhusu KUKOSEKANA KWA HAKI. Hii maana yake viongozi walioko mamlakani ama wamebariki au wameasisi udhalimu huu. Tulitegemea viongozi wa dini wawe wakali na wakemee udhalimu huu, lkn wamekaa kimya. Maana yake ni kwamba viongozi hawa wa dini pia wamebariki...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kuna mwanachuo kaandikiwa taarifa hii hajui kama kapata mkopo au kakosa

    Kwa wanaolewa hapo kapata mkopo au kakosa
  6. 2

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua hii kapuni ya Tese & Techno Engineering

    Habarini ndugu zangu, naomba kujua hii kampuni TESE & TECHNO ENGINEER japo kwa undani ili niweze kwenda maana wamenipigia simu niende kwenye interview na mimi nipo KATAVI KWA SASA, naombeni msaada wenu wakuu niijue iyo kampuni ilipo..
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mnaobadili Maamuzi ya Awamu ya 5 ambayo mlikuwepo na hii ya 6 mnafanya yaliyokuwa hayatakiwi msisahau Kutubu Dhambi ya Unafiki wenu

    Na wengine kila Maamuzi ya Awamu ya 5 yalipokuwa yakifanywa mkialikwa Ikulu mkipewa muda wa Kuzungumza na Hadhira mlikuwa mkiyaafiki tena na mpaka Kupongeza leo mpo katika Awamu yenu hii ya 6 mmeyabadili bila hata Aibu ya Unafiki uliowajaa kutoka Bara mpaka Visiwani. Kwangu Mimi KEROZENE Mchawi...
  8. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Kama umeelewa hii picha utafika mbinguni ukiwa umechoka sana

    wahuni sio watu wazuri😅😅
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe -Inspector Lugawa ISSA Maulid atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 25, 2021

    Leo tarehe 24, Nov. 2021kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea katika mahakama divisheni ya Uhujumu Uchumu na Rushwa ambapo leo Jamhuri italeta Shahidi Mwingine. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 23, 2021. Kesi yaahirishwa hadi...
  10. demigod

    JamiiForums Tanzania Hii Post ya Khalid Aucho Ina Maana Gani?

    Baada ya kuwasili uwanja wa taifa wa jijini Dar es salaam. Mjuba alizuiwa na waandishi waliojitambulisha kuwa ni wa habari. Na mara moja wakaanza kumuuliza kuhusu tetesi za kujiunga simba kama ziko katika mpango wake. Aucho akawapa jawabu na akaenda zake. Baada ya lisaa baadae akaingia twitter...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hii picha ilipigwa 1910 mitaa ya Poplar East London. Wakati huo si barabara zote za London zilikua na lami

    Gari ya Council ilimwaga maji barabarani kupunguza vumbi. Ilikua siku za kiangazi na vijana walijipooza kwa maji.
  12. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hakika nimeuona Ukuu wa Mungu

    .
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kuna Watu Wenye Bahati na Wasio na Bahati? - Kajaze Mafuta Kituo cha TotalEnergies Wiki Hii, Upime Bahati Yako Kwa "The Wheel of Fortune".

    Wanabodi, Haya ninayoandika ni kama utani vile lakini ndio ukweli wenyewe!, Jee wajua ya kuwa, kuna watu wenye bahati na na wengine hawana bahati?. Wenye bahati, mambo yao yanakwenda vizuri na kusema ni bahati tuu, na wasio na bahati, mambo yao yanakwenda vibaya, na kuishia kusema ni bahati...
  14. Faana

    JamiiForums Tanzania Iringa (V) Kama Hii ni Kweli Basi Kazi Ipo

    Nilikuwa nawasikiliza wazee fulani kwenye mjadala wao hapa mijini, wanashangaa maamuzi ya kujenga ofisi za Halimashauri ya Iringa Vijijini huko Ihemi, yaani kilomita 155 toka Mtera na kilometa 130 kutoka Ruaha Mbuyuni, ikimaanisha wananchi kutoka maeneo hayo mawili Mtera na Ruahambuyuni...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Moja ya operation za kijinga sana kuwahi kufanywa na CHADEMA ni hii wanaita CHADEMA Digital

    Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu. Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Leo nimeota nacheza Mpira namba 11 ambapo mimi nachezea mguu wa kulia. Hii ina maana gani?

    Habarini wakuu, Leo nimeota ndoto ya ajabu, naiita ya ajabu kwasababu ni mambo ambayo sipendi kuyafanya kwasasa japo nilikua nikifanya zamani. Nimeota nacheza mpira namba 11 ambapo mimi nachezea mguu wa kulia. Japo mara ya mwisho kucheza mpira ni miaka kumi iliyopita. Ndoto ilianza hivi...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hii ni biashara ya familia au utemi?

    Nineajiriwa kwenye shirika moja la serikali ambalo tunahudumia wafanya biashara kadha na kadha, nipp lwenye kitengo cha accounts kwa hio wengi wao najua hali zao kwenye faida, madeni, sales, n.k. Katika moja wapo ya wafanya biashara kuna mfanya biashara kiukweli yupo fresh, si haba, nje ya...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Nchi hii tuna chama cha wataalam wa kilimo?

  19. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kama Katiba Mpya ni kikwazo, iliyopo ifanyiwe marekebisho ili kukidhi mahitaji ya sasa

    Katiba ndio chombo pekee ambacho kinawapa wananchi mamlaka ya kujitawala. Katiba ni mali ya wananchi na sio mali ya watawala wanaowekwa na wanachi kwa njia ya kura. Hakuna kificho kuwa tangu mwaka 1977 ilipotungwa katiba ya JMT taifa letu limepata mabadilijo makubwa. Na kadiri mabadadiliko...
  20. Gushleviv

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alama hii ina maana gani?

    Nimekutana na hiyo alama maeneo ya Mataa ya Kipawa karibu na uwanja wa Ndege, je ina maana gani?
Back
Top Bottom