Habari wakuu, natumai mpo gudi, rejea kichwa cha habari hapo juu,
Kuna muvi fulani hivi kwa ambae anaweza kuijua hata jina yenye pia ina maudhui ya mauaji ya kimbari pale Rwanda iko hivi;
Kuna mwandishi wa habari inatokea sijui ni ufaransa inaingia pale Rwanda kipindi hicho vuguvugu la vita...