Plaintiff
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 307
- 210
Simu ni LG G8 thinq
Ipo locked na mtandao wa China Unicom.
Ukiweka line za Bongo inashika tu 4G muda wote(Hivyo huwezi kupiga simu wala kupokea message). Except kwenye airtel ambapo ukiweka itashika 4g kama kawaida ila ukipiga simu itajishisha kuja 3G na ukimaliza itarudi 4G.
Mitandao iliyobaki itastick 4G na ukipiga simu inaweza kugoma au kurudi 3G na utakapomaliza kuongea network itakata na kuanza kutafuta tena 4G.
Ukicommand network ikae 3G au 2G network inapotea mazima.
Kuna mtu ana solution au kuna fundi anaweza kunirekebishia?
Karibuni.