hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

    Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na walisema hawatumii condom. Najiuliza ina maana DECEPTION alisema kweli kipindi kile au wanahamasisha watu...
  2. JamiiForums Tanzania Waliofanikiwa katika dunia hii ni wachache sana, wengi bado wanahangaika

    Maana yangu katika kufanikiwa: Kufanikiwa ni kuwa na uhuru wa kifedha, kuwa na amani moyoni, bila kuwepo na nguvu ya ziada ya ushurutishaji; uwe wa kimawazo, kiuchumi au kimazingira. Hii inatafsiri, aliyefanikiwa anaweza kujiamulia mambo yake mwenyewe bila kuwepo na ushurutishaji wa kufanya...
  3. JamiiForums Tanzania NHIF kwa orodha hii ya dawa ambazo hazimo kwenye kitita chenu ni dhahiri hamna nia njema ya kuwasaidia Watanzania

    Dawa zote muhimu kwa wananchi wa mijini na vijijini hazimo kwenye orodha ! Hata bomba za sindano na plasta na antibiotic karibia zote hazipo kwenye kitita sasa mnamalengo gani? Oneni wenyewe picha hizikkw
  4. JamiiForums Tanzania Single parents wanaweza kufurahia tena mahusiano na kuwa kwenye ndoa zenye furaha

    Mada nyingi kwa sasa ni zile zinazowaandaa vijana wa kiume kukataa ndoa kisa matatizo yanayosababishwa na jinsia ya kike. Hata wanawake nao wana ajenda yao yao ya pata mtoto lea mwenyewe maisha yasonge, ila hali ni mbaya kwa future life hasa kwenye serikali ya familia. Hii mitandao tunayotumia...
  5. JamiiForums Tanzania Katika hii droo ya Yanga na Mamelodi ni nani hasa Analengwa atoke au asitoke mapema CAFCL 2023/24?

    Binafsi ni mwana Simba lakini kuna kila dalili droo ya Yanga vs Mamelodi ilipangwa kimkakati , ikihusisha mawazo tofauti tofauti hususani YANGA na Mamelodi ziko kwenye kiwango bora kwa sasa . Kuna nini Nyuma ya Hii droo ?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu wa kwanza baada kuona naingiza pesa nyingi alijazwa upepo tuaachane ili apate pesa kirahisi

    kuna kipindi kifupi hapo nyuma upepo wa fedha ulinipitia, niliwahi kuwa na biashara naingiza almost milioni 6 faida kila mwezi, nilishaiacha baada ya ushindani kujaa sokoni kiasi kwamba hata laki 5 kwa mwezi kuipata ilianza kuwa ngumu, 2020 niliachana na aliewahi kuwa mke wangu, sababu ikiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hii mboga inaliwa? Msaada wenu!

    Mchicha pori mwekundu je! Unaliwa ama sumu? Na upandaji wake ni kama mchicha tuliouzoea? Hivyo nikisema nijaribu kuupanda unakubali kwa all season kwa maana kiangazi na masika? Mchicha pori nimetokea kuupenda sana sana, ila huu mwekundu unanipa mashaka kama unaliwa. Msaada wenu wanajamvi...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini naipenda Jamii Forums? Sabau kuu ni hii...

    KWA NINI NAIPENDA JAMII FORUM? SABABU KUU NI HII. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli JamiiForums ni moja ya mtandao mkubwa hapa Tanzania ambao ninaupenda na haiwezi kupita siku bila kuingia kama nitakuwa mzima. Nilianza kuingia JF mwaka 2011 kutokana na upenzi wa kusoma Makala ndefu zenye tija...
  9. JamiiForums Tanzania Kisia Foundation ya nini hii?

    Weka neno Foundation ya kitu gani hii, wataalam tupieni neno.
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ninyi kinabibi afya na bwana afya hii ni kawaida?

    Pengine ni hali ya maisha inapelekea hivi mtu anajifunguwa hajamaliza mwezi anakuja kuuza chakula mgahawani na anamuogesha nje hapo bila aibu. Nauliza ninyi watu wa afya hamuoni ongezeko la hii hali au ni kawaida mtueleweshe mtu kama mimi. Huyu mtu kwanini msimwambiye alee kwanza mtoto wakati...
  11. JamiiForums Tanzania Kitaalamu hii tunaitaje?

    Hii tunaitaje kitaalamu zaidi?
  12. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii kuna haja ya kukaribia ballot box kweli 2025?

    Ni taarifa za kushangaza, za kutisha, za kukera na kuogofya sana. Nimeongea na viongozi wengi wa ngazi zote, za chini, za kati na za juu. Wote wanakubaliana katika jambo moja: wananchi hawasaidiki, kwa hiyo waachwe kama walivyo, wasijaliwe na watawala "wafanye yao." Hali ilivyo sasa ni kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Tabia ya wafanyabiashara kukaa na simu zinazotumika kufanya miamala mbali na eneo la biashara inakera

    Kuna hii tabia imezuka ya wamiliki wa biashara kuweka huduma za kifedha za mitandao ya simu mbalimbali lakini simu wanakaa nazo wenyewe mbali na ofisi zao na kwenye biashara zao wanaweka vijana ambao ukitoa pesa au kuweka lazima awasiliane na bosi wake ili akupe au kukuwekea. Hii tabia kiukweli...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uchumi umekua, wananchi wana/wataendelea kuwa maskini," Aina gani hii ya uchumi isiyo na tija kwa mwananchi?

    Katika taarifa ya ripoti ya utafiti wa REPOA unasomeka kwamba uchumi wa nchi yetu unakua kwa kasi lakini nao umaskini wa wananchi unaongezeka kwa kasi. Hoja yangu ni kwamba huu uchumi usio na manufaa kwa wananchi unatengenezwa na nani na kwa manufaa ya nani? Niombe msaada wa elimu kwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Aisee kumbe Unywaji wa Pombe unaleta Raha namna hii?

    Ndio maana wanywaji wengi wanafanikiwa na hawapungukiwi. Yaani utakuta Mtu yuko chakali kila siku na sio kwamba ana michongo mikali sana wala nini. Ni kupitia kanuni ile ile kwamb Wanywaji hawapungikiwi. Hata kama hana kitu bado ana matumaini ya kupata. Ukinywa Pombe hakuna usumbufu...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Yanga hii Mamelod lazima atoke, na Yanga atafika fainali

    Kuna wapenzi wa Simba wanaamini kwamba Yanga kupangwa na Mamelodi Sundowns hawatafika nusu Fainali. Kwangu mimi naona Mamelodi ni mwepesi kuliko Al Ahly. Kwenye hatua za mtoana Al Ahly anakuwaga wa moto kuliko kwenye magroup. Simba ndiyo ana wakati mgumu kuliko Yanga. Yanga anavuka hatua hii na...
  17. JamiiForums Tanzania Tusizuge na tuache Unafiki ukweli ni kwamba tuliomba hadi hata Kuroga tupangiwe na Asec ila Jini limeshindwa safari hii

    Na kuna Timu moja hapa Afrika licha ya kuwa inacheza Mpira wa uhakika, ni Tajiri wala haitegemei Kuuza Godoro la kuumiza Migongo Ina Wachezaji ambayo Bajeti yao ni Bajeti ya Miaka 10 ya Majini Baharini FC lakini pia hata Kiuchawi pia wako vyema ile mbaya ukizingatia kuwa hata nchini Kwao ndiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako kuhusu hii picha?

  19. S

    JamiiForums Tanzania Nipeni takwimu, rekodi hii ya Yanga SC ndani ya miezi takriban 6, imewahi kufikiwa na timu yeyote duniani?

    Timu ya Dar es salaam Young Africans Sports Club, au Yanga sc aka Wakimataifa ama wananchi kama wanavyotambulika kwa sasa. Ktk msimu huu wa 2023/2024 wamekuwa ktk ubora usiopimika wala kumithirika. Yanga hii ya Gamond imekuwa timu tishio kiasi cha kuogopwa uwanjani na timu pinzani kila...
  20. JamiiForums Tanzania KERO Nchi hii Dharau zimezidi! Watumishi wa serikali Vyeo sio Misifa, ni Dhamana

    Dhahiri shahiri bila kupepesa macho nanyoosha malalamiko yangu Ofisi ya halmashauri Njombe mjini Kuwa Cheo ni Dhamana sio sifa na lawama hizi ziende moja kwa moja kwenye kitengo cha NIDA, Mjue tumeteseka Mashambani na makazini na viwandani, mikono yetu ikapasuka pasuka kwa kazi ngumu tukajituma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…