King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Maana yake ni kuwa watu wanadhurumiwa haki zao kila mahala.
Polisi wanabambikia watu kesi, wanyonge wanadhurumiwa ardhi, bila kuwa na connection hupati kazi.
Hii ni tafsiri tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao.
Rais ajiuzulu na uchaguzi halali uitishwe
Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa.
Sina kachanga sina presha ni nini?
Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
Habari za muda huu waungwana.
Nina leseni ya udereva yenye madaraja A, A2, B, D, E, F & G. Je nitaweza kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber, Faras, nk kwa kutumia leseni yenye madaraja haya?
Natanguliza shukrani.
Ndugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake?
Nchi inaingia kwenye madeni makubwa sana hii lakini huku gharama za maisha zikizidi kupanda na asilimia kubwa ya wananchi...
Nimeshtuka..!
Huyu si kariba na makamo ya Dr mwigulu na Majaliwa kabisa wajameni?
Sasa wachezaji wenyewe ndiyo kama Hawa mtu unashindwaje kufunga hata kumi kwa bila wakuu?
Kwa kuwa simba mbovu na Hawa wastaafu waliokuja kutalii ndiyo mahututi basi ikaonekana wamecheza sana?
Nimeumia sana kwa...
Habari za muda huu waungwana.
Kuna hii gari ndogo inayo fahamika kwa jina la Daihatsu Mira (year 2007/2008). Nimeipenda jinsi ulaji wake wa mafuta ulivyo mdogo kulinganisha na gari nyingi ndogo ndogo kama ist, vits, nk.
Ningependa kufahamu kama gari hizi zinatambulika na Bolt, Uber, nk. Uimara...
Kujali afya ya binadamu mwenzio hata kama unafanya biashara na unatafuta hela ni muhimu sana.
Wafanyabiashara mnatuua bila huruma sisi waja wema. Nimefika Mbezi mwisho barabara inayokwenda Kinyerezi kuna ofisi maalumu ambayo wanakusanya makopo na kupakia maji machafu yasiyofaa hata kidogo...
Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi
Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika. Wakosoaji wa kisiasa wanatumia fursa hio.
Ushauri
Taarifa kama zile zisiwe live zirkodiwe zieditiwe...
Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kumbe alizaliwa Kivule Mkuranga Mkoani Pwani kutoka kwa Baba yake ambaye Kiasili anatokea Tanzania Bara ila alimpeleka tu Kisiwani Zanzibar ili akapate Elimu sahihi ya Dini ya Kiislamu inakuwaje Maamuzi ya Maziko yake yafanyike Kesho Ugenini...
Naangalia Clips za Huko Kivu, utagundua tofauti kubwa kati ya vita vya wazungu kwa wazungu nq vita vya Watu masikini (Waafrika) wa kipato.
Utagundua.
1: Wazungu hawaonyeshi raia wao wakilia njaa. Barkhmut (Ukraine) zilipigwa risasi na mabomu mji mzima kuliko sehemu yoyote duniani tangu...
Kwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini.
Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU...
Mwaka 1979 kulitokea maajabu ya soka ambayo mpaka leo bado hayajaweza kurudiwa katika historia ya soka la Afrika.
Simba ilicheza mchezo wa Klabu Bingwa Afrika na timu ya Mufulira Wanderers ya Zambia. Mufulira ilikuwa moja ya timu bora Afrika kipindi hicho. Katika mechi ya kwanza iliyofanyika...
Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi wao wanaotaka kila askari awe mtumwa wa CCM, kwa vile wao wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye...
Kwanini viongozi wa nchi yetu wanakuwa na dharau kwa wananchi wakati mwingine? Ni kwasababu wanajua hata kama hawafanyi vizuri majukumu yao wataendelea kuwa madarakani tu.
Kwa wenzetu wa nchi zilizoendelea ni nadra kwa chama kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi viwili. Hata chama kikiongoza...
Sina mengi ya kusema, natoa ushauri tu kwa dada zangu hasa nyinyi mnaoishi kwenye miji mikubwa.
Dada, kama bae wako anajifanya mbahili, hakupi pesa, wewe pika uji asubuhi ukauze kazini kwake.
Usisahau kuja kunishukuru baadae.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.