Kwa hali hii kuna haja ya kukaribia ballot box kweli 2025?

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
15,859
20,714
Ni taarifa za kushangaza, za kutisha, za kukera na kuogofya sana. Nimeongea na viongozi wengi wa ngazi zote, za chini, za kati na za juu. Wote wanakubaliana katika jambo moja: wananchi hawasaidiki, kwa hiyo waachwe kama walivyo, wasijaliwe na watawala "wafanye yao."

Hali ilivyo sasa ni kwamba ukijitambulisha na wananchi katika nyanja yeyote ya uongozi uwe wa chini, wa kati au wa juu, kimsingi unaonekana kama mtu asiyejua afanyalo, aliyechanganyikiwa na anayepaswa kudharauliwa. Ndio, hapo ndipo tulipo fika kama nchi. Sasa tunaambiwa wazi, tusiwajali wananchi,sasa wakimbilie kwa nani?

Viongozi wengine ukiongelea kuhusu maslahi ya wananchi, wanakasirika na kufura kabisa, huku wakihoji, "mwananchi ana maslahi na haki gani?"

Wengine tunajiuliza, sasa wao ni viongozi wa nani, na wameteuliwa au kuchaguliwa kwenye nafasi za uongozi, ili iweje hasa, kama wananchi hawana haki, wala maslahi yeyote. Narudia tena, inashangaza, inatisha, inakera na kuogofya sana.

Kwa muda mrefu tumekuwa tukishangaa madudu ya ajabu, na ufisadi wa ajabu unaoendelea chamani,kwenye mashirika ya umma,Halimashauri zetu na hata Serikalini, bila hatua zozote kuchukuliwa. CAG anatoa ripoti, fedha za serikali zimetumiwa vibaya, hakuna hatua yeyote inayochukuliwa. Halimashauri zinafuja fedha za miradi na za serikali, hakuna hatua za msingi zinazochukuliwa;mashirika ya umma yanafuja fedha na kutoa huduma duni, hakuna hatua zozote zinazochukuliwa wakati sheria zipo. Kila mahali, katika kila sector mambo yanakwenda ndivyo sivyo, wala hakuna anayejali, it is business as usual. Si elimu, si afya, si kilimo, si maji, si nishati, kila mahali ni kama hakuna mwenyewe hivi. Now at last we know kwamba kumbe si bahati mbaya, ni mkakati maalum uliopangwa,ukasukwa na kusukika. Wenyewe wamefunguka.

Viongozi wa ngazi zote niliopata nafasi ya kuongea nao, wameniambia slogan hii, "IF YOU CAN'T FIGHT THEM, JOIN THEM." Wakaongeza, "sisi hatuwezi kupigana nao kwa hiyo tumeshawajoin. We are sure you also cannot fight them, so you are welcome."

Let me be frank, nimechoka, mnajua, nimechoka. Naomba niwe frank on this issue. Niwe mwanachama wa CCM and I am unfortunately, au mwanachama wa chama kingine chochote, kuna haja ya kwenda kwenye ballot box kweli come 2025 kwa hali hii? I don't think so, I will be so stupid, a loon, crazy and a fool.
 
Ni taarifa za kushangaza, za kutisha,za kukera na kuogofya sana.Nimeonge na viongozi wengi wa ngazi zote,za chini,za kati na za juu.Wote wanakubaliana katika jambo moja:wananchi hawasaidiki,kwa hiyo waachwe kama walivyo,wasijaliwe na watawala "wafanye yao."

Hali ilivyo sasa ni kwamba ukijitambulisha na wananchi katika nyanja yeyote ya uongozi uwe wa chini,wa kati au wa juu, kimsingi unaonekana kama mtu asiyejua afanyalo, aliyechanganyikiwa na anayepaswa kudharauliwa.Ndio hapo ndipo tulipo fika kama nchi,sasa tunaambiwa wazi, tusiwajali wananchi. Viongozi wengine ukiongelea kuhusu maslahi ya wananchi, wanakasirika na kufura kabisa,huku wakihoji mwananchi hana maslahi na haki gani?

Wengine tunajiuliza,sasa wao ni viongozi wa nani,na wameteuliwa au kuchaguliwa kwenye nafasi za uongozi ili iweje hasa,kama wananchi hawana haki wala maslahi yeyote.Narudia tena, inashangaza, inatisha,inakera na kuogofya sana.

Kwa muda mrefu tumekuwa tukishangaa madudu ya ajabu,na ufisadi wa ajabu unaoendelea chamani na hata Serikalini bila hatua zozote kuchukuliwa. CAG anatoa ripoti,fedha za serikali zimetumiwa vibaya,hakuna hatua yeyote inayochukuliwa. Halimashauri zinafuja fedha za miradi na za serikali, hakuna hatua za msingi zinazochukuliwa,na sheria zipo.Kila mahali katika kila sector mambo yanakwenda ndivyo sivyo, wala hakuna anayejali. Si elimu, si afya, si kilimo, si maji, si nishati, kila mahali ni kama hakuna mwenyewe. Now at last we know kwamba kumbe si bahati mbaya,ni mkakati maalum.

Viongozi wa ngazi zote niliopata nafasi ya kuongea nao, wameniambia slogan hii,"IF YOU CAN'T FIGHT THEM,JOIN THEM." Wakaongeza,"sisi hatuwezi kupigana nao kwa hiyo tumeshawajoin. We are sure you also cannot fight them,so you are welcome."

Let me be frank, nimechoka,mnajua, nimechoka. Naomba niwe frank on this issue.Niwe mwanachama wa CCM and I am unfortunately,au mwanachama wa chama kingine chochote,kuna haja ya kwenda kwenye ballot box kweli come 2025? do not think so,I will be so stupid.
Ushauri wa hovyo huu! Tukapige kura na tulinde kura zetu.
 
Mtumishi ni HAKI yetu kuchagua na kuchaguliwa.

Huu Si wakati wa kukaa pembeni na kumwachia Mungu,

Tutoke Kwa pamoja kudai tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote.

Na Mungu Yu upande wetu.

Amen
 
Nani aliweka sheria kwamba ni haki yako kuchagua na kuchaguliwa Rabbon? Ni wanadamu tu wala sio Mungu.sisi kama wana wa Mungu lazima tujue lipi tufanye na lipi tusifanye,kufuatana na maandiko.Labda ingekuwa vizuri ukanipa andiko la Biblia Mkuu linalo-onyesha kwamba ni haki yetu kuchaguliwa na kuchagua.

Politics Rabbon ni vitu hewa,it is of the Devil.Kwamba una haki ya kuchagua na kuchaguliwa,ni concept uliyopandikiziwa na watu wakitumiwa na Shetani, wala haina ukweli wowote in reality,na uhusiano wowote na Mungu,ni lugha za kitapeli tu na kihuni.
 
Nani aliweka sheria kwamba ni haki yako kuchagua na kuchaguliwa?Nipe andiko la Biblia Mkuu.Politics ni vitu hewa,it is of the devil.Kwamba una haki ya kuchagua na kuchaguliwa,ni concept uliyopandikiziwa tu,haina ukweli wowote na reality,ni lugha za kitapeli tu.
Kwa kuwa nchi limekabidhiwa Kanisa,

Concept ya kuchagua, kuchaguliwa, na kuthibitisha viongozi madarakani Iko hapo.
 
Sema nchi imekabidhiwa kwa Shetani mkuu,sio Kanisa.Kanisa la Mungu haliwezi kuruhusu ushoga
Nchi tumekabidhiwa Kanisa,

Ndio maana UOVU unapozidi Huwa anatuuliza imekuwaje,

Na anapotoa adhabu , lazima hupitia kwetu.

Tuna wajibu wa kunyoosha wanasiasa wanapotoka nje ya mstari Kwa kuwa wanapata Ridhaa hiyo Kwa niaba ya Kanisa.
 
Ni taarifa za kushangaza, za kutisha,za kukera na kuogofya sana.Nimeonge na viongozi wengi wa ngazi zote,za chini,za kati na za juu.Wote wanakubaliana katika jambo moja:wananchi hawasaidiki,kwa hiyo waachwe kama walivyo,wasijaliwe na watawala "wafanye yao."

Hali ilivyo sasa ni kwamba ukijitambulisha na wananchi katika nyanja yeyote ya uongozi uwe wa chini,wa kati au wa juu, kimsingi unaonekana kama mtu asiyejua afanyalo, aliyechanganyikiwa na anayepaswa kudharauliwa.Ndio hapo ndipo tulipo fika kama nchi,sasa tunaambiwa wazi, tusiwajali wananchi. Viongozi wengine ukiongelea kuhusu maslahi ya wananchi, wanakasirika na kufura kabisa,huku wakihoji mwananchi hana maslahi na haki gani?

Wengine tunajiuliza,sasa wao ni viongozi wa nani,na wameteuliwa au kuchaguliwa kwenye nafasi za uongozi ili iweje hasa,kama wananchi hawana haki wala maslahi yeyote.Narudia tena, inashangaza, inatisha,inakera na kuogofya sana.

Kwa muda mrefu tumekuwa tukishangaa madudu ya ajabu,na ufisadi wa ajabu unaoendelea chamani na hata Serikalini bila hatua zozote kuchukuliwa. CAG anatoa ripoti,fedha za serikali zimetumiwa vibaya,hakuna hatua yeyote inayochukuliwa. Halimashauri zinafuja fedha za miradi na za serikali, hakuna hatua za msingi zinazochukuliwa,na sheria zipo.Kila mahali katika kila sector mambo yanakwenda ndivyo sivyo, wala hakuna anayejali. Si elimu, si afya, si kilimo, si maji, si nishati, kila mahali ni kama hakuna mwenyewe. Now at last we know kwamba kumbe si bahati mbaya,ni mkakati maalum.

Viongozi wa ngazi zote niliopata nafasi ya kuongea nao, wameniambia slogan hii,"IF YOU CAN'T FIGHT THEM,JOIN THEM." Wakaongeza,"sisi hatuwezi kupigana nao kwa hiyo tumeshawajoin. We are sure you also cannot fight them,so you are welcome."

Let me be frank, nimechoka, mnajua, nimechoka. Naomba niwe frank on this issue.Niwe mwanachama wa CCM and I am unfortunately,au mwanachama wa chama kingine chochote,kuna haja ya kwenda kwenye ballot box kweli come 2025? do not think so,I will be so stupid.
Siwezi poteza mda wangu kwenda kusaidia mwanasiasa aingie madarakani kwenda kula.
 
Nchi tumekabidhiwa Kanisa,

Ndio maana UOVU unapozidi Huwa anatuuliza imekuwaje,

Na anapotoa adhabu , lazima hupitia kwetu.

Tuna wajibu wa kunyoosha wanasiasa wanapotoka nje ya mstari Kwa kuwa wanapata Ridhaa hiyo Kwa niaba ya Kanisa.
Sentence case: Rabbon haya madhehebu unayo ona sio kanisa. Mungu anayo mabaki, lakini sio haya madhebu. Haya ni product ya mkakati wa Shetani wa "Devide and Rule," ambao umefanikiwa 100% kulisambaratisha kanisa. Ni vizuri ukasoma 1 Kor.1:10-13;1Kor.3:1-7. Naomba pia usome Yohana Mtakatifu 17:11,21-23 ili Bwana Yesu mwenyewe alivyomuomba Mungu kwa ajili ya umoja wa kanisa. Naku-refer kwenye kitabu cha Matendo ya Mitume, hapo ndipo utakapo ona jinsi kanisa la kweli la Kristo linavyotakiwa liwe. Tulichonacho sasa ni kiini macho, sio kanisa. Sijui niiteje huu mfumo, but it is a very corrupted system, ambao sipendi kujihusisha nao kabisa.
 
Back
Top Bottom