Single parents wanaweza kufurahia tena mahusiano na kuwa kwenye ndoa zenye furaha

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,767
21,241
Mada nyingi kwa sasa ni zile zinazowaandaa vijana wa kiume kukataa ndoa kisa matatizo yanayosababishwa na jinsia ya kike.

Hata wanawake nao wana ajenda yao yao ya pata mtoto lea mwenyewe maisha yasonge, ila hali ni mbaya kwa future life hasa kwenye serikali ya familia.

Hii mitandao tunayotumia ni mibaya na mizuri kwa kila mtumiaji wake, hapa chini tunaona faida kutoka kwa hawa masingle mother na father ambao kila mmoja alitalikiana na mwenzi wake.

Ila dunia ina mchana na usiku maisha yao yamebadirika no single maza wala single dad, wanafuraha kuliko Ndoa zao za kwanza.
 
Taratibu za kufunga ndoa ziishe. mke na mume wakubaliane, wazae watoto na waishi pamoja
 
Back
Top Bottom