Mke wangu wa kwanza baada kuona naingiza pesa nyingi alijazwa upepo tuaachane ili apate pesa kirahisi

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
kuna kipindi kifupi hapo nyuma upepo wa fedha ulinipitia, niliwahi kuwa na biashara naingiza almost milioni 6 faida kila mwezi, nilishaiacha baada ya ushindani kujaa sokoni kiasi kwamba hata laki 5 kwa mwezi kuipata ilianza kuwa ngumu, 2020 niliachana na aliewahi kuwa mke wangu, sababu ikiwa pesa zilimchanganya sana + entitlement ya kuona anaweza kutumia pesa kivyovyote bila kuhojiwa, nilipoanza kutia mkazo yakaanza malumbano, yani hata nikimuachia elf 30 kwa siku analalamika haimtoshi !! yeye anataka kuishi maisha ya kibongo muvi na ya kuspend kwa kushindana ama kutaka kusifiwa na wenzake, akajazwa upepo wa kishenzi kwamba tuachane, ilikuwa hivyo na aliambulia milioni 40, gari moja, kiwanja, n.k. >> Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya mali

Kwa sasa nipo na mwanamke mwengine natumia mbinu nyingine kuishi nae hata akiniona na pesa apunguze tamaa ya kukimbilia mahakamani kunipiga pasu kwa pasu (mahakama zina upendeleo wa hali ya juu sana kwa wanawake)

So far so good i cant complain,, Ni kwamba huwa namwambia nina madeni niliyowekea bond nyumba, kiwanja, magari, mashamba, n.k. lengo ni yeye kujua kwamba hata akipata hizo mali ajue hataweza kuzimiliki,

Ila kuna muda hii mbinu huwa ina backfire mfano kawahi kuniambia auze shamba lake la urithi huko kwao anishaidie kupunguza marejesho, ananiombea sana kwa kitu ambacho hakipo, Nikimnunulia kitu kizuri huwa inabidi nimbembeleze sana akipoke, nadhani hata nikifa leo anaweza asifuatilie mali ila najitahidi kuweka mkakati aje kujua kwamba sidaiwi endapo nikipata kifo cha ghafla. n.k.

Advantage nazopata nadhani ni Loyalty ya yeye kuweza kuishi nami huku akijua hata tukiachana anaweza asiambulie hata sahani, Kwa upande wa sex wala sina nachomdai nadhani ni sehemu ambayo labda kaiona aitumie kunitolea mawazo ya madeni, mara nyingi huniomba pesa za vitu muhimu tu, She is very supportive na huwa ananipa peace of mind
 
Sawa ila mkija kuachana kwa sababu yeyote nyingine hutokua na ujanja mtagawana tu

Njia pekee ya kuzuia hii changamoto ni kuoa mtu uliyefanana nae kiuchumi, tajiri kwa tajiri, maskini kwa maskini

Ukikubali kuoa umekubali kugawana mali, sharti hilo

Halafu eti wanaiita ndoa taasisi ya kiroho, imeanzishwa na mungu, wakati ina mapungufu yote hayo

Ndoa ni utapeli.
 
Niliwahi kuwa na mke tuliachana 2020 akaambulia pesa milioni 40, gari, kiwanja, n.k.... wenzake walimjaza upepo wa umalkia wa nguvu / miss independent.. Iliniuma ila ilikuwa funzo. >> Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya mali

Kwa sasa nipo na mwanamke mwengine natumia mbinu nyingine kuishi nae hata akiniona na pesa apunguze tamaa ya kukimbilia mahakamani kunipiga pasu kwa pasu (mahakama zina upendeleo wa hali ya juu sana kwa wanawake)

So far so good i cant complain,, Ni kwamba huwa namwambia nina madeni niliyowekea bondo nyumba, kiwanjaa, magari, mashamba, n.k. lengo ni yeye kujua kwamba hata akipata hizo mali ajue hataweza kuzimiliki,

, ila kuna muda hii mbinu huwa ina backfire mfano kawahi kuniambia auze shamba lake la urithi huko kwao anishaidie kupunguza marejesho, kawahi kunipa milioni 1 cash aliniambia alikuwa anazitunza kwenye helaa nazompa zinisaidie marejesho, ananiombea sana kwa kitu ambacho hakipo, Nikimnunulia kitu kizuri huwa inabidi nimbembeleze sana akipokee huwa namwambia ni kweli nadaiwa ila kwavile nampenda siwezi jibana kwake, ni sharti lazima nile nyumbni au niondoke na chakula hii kitu alipiga sana kelele migahawa inanimalizia pesa, n.k.

advantage nazopata nadhani ni Loyalty ya yeye kuweza kuishi nami huku akijua hata tukiachana anaweza asiambulie hata sahani, Kwa upande wa sex nampa 10/10 ni sehemu ambayo labda kaiona aitumie kunitolea mawazo ya madeni, mara nyingi huniomba pesa za vitu muhimu tu,She is very supportive na huwa ananipa peace of mind
Logic?
 
Usiishi hivyo, wanawake wote sio wabaya, amani, kuzaa na kulea watoto ni jambo jema zaidi.
 
Back
Top Bottom