Katika hii droo ya Yanga na Mamelodi ni nani hasa Analengwa atoke au asitoke mapema CAFCL 2023/24?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Jan 9, 2022
449
1,009
Binafsi ni mwana Simba lakini kuna kila dalili droo ya Yanga vs Mamelodi ilipangwa kimkakati , ikihusisha mawazo tofauti tofauti hususani YANGA na Mamelodi ziko kwenye kiwango bora kwa sasa .

>>>Inawezekana ni mkakati Mamelodi apewe mpinzani mkali ili asisonge mbele .

>>>Inawezekana ni mkakati ili Waarabu Al ahly na ES TUNIS wafike mbali .

Kuna nini Nyuma ya Hii droo ?
 
Hii droo imelenga kuziondoa Simba na Yanga. Sioni timu (siyo Yanga Wala Simba) itakayopenya kuvuka robo fainali kwenda nusu fainali.
 
Binafsi ni mwana Simba lakini kuna kila dalili droo ya Yanga vs Mamelodi ilipangwa kimkakati , ikihusisha mawazo tofauti tofauti hususani YANGA na Mamelodi ziko kwenye kiwango bora kwa sasa .

Kuna nini Nyuma ya Hii droo ?
Sababu kuu tatu
1. Kibiashara zaidi yanga na simba wana mashabiki wengi sana nadhani kuliko nchi zote Africa
2. Kuionyesha dunia kwamba tuna mashindano pendwa ya mpira Africa
3. Kuionyesha dunia kwamba africa kuna club zilizoongezeka kiushindani ambazo ni simba na yanga, kumbe nchi moja inaweza kutoa zaidi ya club mbili ama zaidi kwenye mashindano ya club bingwa africa, natamani kuziona Yanga na Simba siku moja zikifika finali la kombe hili la mashindano ya kutafuta club bora na shindani za Africa
 
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom