Kwa Yanga hii Mamelod lazima atoke, na Yanga atafika fainali

Protector

JF-Expert Member
May 20, 2019
414
877
Kuna wapenzi wa Simba wanaamini kwamba Yanga kupangwa na Mamelodi Sundowns hawatafika nusu Fainali. Kwangu mimi naona Mamelodi ni mwepesi kuliko Al Ahly. Kwenye hatua za mtoana Al Ahly anakuwaga wa moto kuliko kwenye magroup.

Simba ndiyo ana wakati mgumu kuliko Yanga. Yanga anavuka hatua hii na atafika mpaka fainali, sioni wa kumzuia.
 
Tofauti ya Mamelodi na Al Ahly, Mamelodi hana heshima. Ana kiburi na ndio sababu pamoja na ubora wao wote huo ana kombe moja tu la klabu bingwa.

Al Ahly ana nidhamu sana, anaweza cheza na Simba au Yanga hapo taifa ukahisi tunacheza na Namungo. Nenda kwao sasa uone dogo anavyotumwa dukani akaongeze pakti za condom.
 
Mpira una matokeo ya kikatili sanaa.. Tusubiri, Time will tell
 
Wiki mbili zilizopita nimeota Yanga wanacheza mechi kubwa sana na Manchester City na kufanikiwa kuwafunga. Niliona ushindi huo wa Yanga umekuwa gumzo kubwa duniani.

Kwa ndoto hiyo nilijua Yanga watapangwa na Mamelod. Ni mara chache sana mimi kuota ndoto za uongo, kwa hiyo nawaona Yanga wakiingia nusu fainali.
 
Mamelodi ana jina na sifa kubwa kuliko uhalisia wake uwanjani . Wiki zilizopita Tp mazembe tu hii iliyochoka imemtoa jasho dakika 180 mpaka akapewa penalty ndipo mamelodi akapata aggregate sare.

Mamelodi ukimshambulia dakika 10 tu mfululizo lazima akupe goli.

Yanga hii wale kina pacome wale na kina aziz kii sioni kama watamuacha mamelodi aondoke na clean sheet mechi zote 2.

Kama mazembe tu kapata ushindi kwa mamelodi. Why yanga hasipate ?
 
Mamelodi ana jina na sifa kubwa kuliko uhalisia wake uwanjani . Wiki zilizopita Tp mazembe tu hii iliyochoka imemtoa jasho dakika 180 mpaka akapewa penalty ndipo mamelodi akapata aggregate sare...
Hata Al ahaly kipindi anatoa droo na Simba nje ndani mlisema mnaenda kumpiga nje ndani kisa kashindwa kumfunga Simba mbovu matokeo yake mkaenda kupakatwa huko Cairo.

Usichukulie poa mazembe mwaka huu imebadirika na wametumia pesa nyingi kwenye usajili.

Na katika kitu ambacho Yanga hatakiwi kuthubutu kukifanya ni kucheza mpira wa kupisha ndani ya uwanjani na Mamelod , badala yake wawa heshimu Mamelod na wapoze mpira tofauti na hapo tutashuhudia kiama.
 
1710276799307.png
 
Hata Al ahaly kipindi anatoa droo na Simba nje ndani mlisema mnaenda kumpiga nje ndani kisa kashindwa kumfunga Simba mbovu matokeo yake mkaenda kupakatwa huko Cairo...

Muda utaongea. Uzuri uzi huwa hazifutiki.
 
Wiki mbili zilizopita nimeota Yanga wanacheza mechi kubwa sana na Manchester City na kufanikiwa kuwafunga. Niliona ushindi huo wa Yanga umekuwa gumzo kubwa duniani.

Kwa ndoto hiyo nilijua Yanga watapangwa na Mamelod. Ni mara chache sana mimi kuota ndoto za uongo, kwa hiyo nawaona Yanga wakiingia nusu fainali.
Amka utakunya kitandani
 
Kuna wapenzi wa Simba wanaamini kwamba Yanga kupangwa na Mamelodi Sundowns hawatafika nusu Fainali. Kwangu mimi naona Mamelodi ni mwepesi kuliko Al Ahly. Kwenye hatua za mtoana Al Ahly anakuwaga wa moto kuliko kwenye magroup.

Simba ndiyo ana wakati mgumu kuliko Yanga. Yanga anavuka hatua hii na atafika mpaka fainali, sioni wa kumzuia.
Dogo anawaambia mmepewa mlichoomba, lakini baada ya kupewa mpaka swaumu zimewaisha 😁

Back
Top Bottom