King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Wakuu kwema.
Hili suala ni la kawaida likitokea mara moja ila likijirudia rudia tunapata wasiwasi.
Imetokea kwa siku tano hadi leo navyotype kwamba nikipanda daladala konda haniombi nauli namimi napotezea , kuna muda nampa mwenyewe.
Kinachonishangaza zaidi napewa chenji iliyozidi nikienda...
Aiseeeee habari za leo wazee.........
Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi na kuzungusha Kwa wateja wake. Shughuli zake zingine sizijui na huwa sizifwatilii kabisa.
Hawa...
Baada ya yanga kuchjkua ubingwa. Wa nbc
Nashauri hii bodi ichukue mda kujitafakari ijiuzulu tu
Wasione aibu kwa yale yalioendelea kwenye hii ligi huu mwaka n kichefuchefu
Pia mabosi wa waamuzi wote washauriwe kujiuzulu.
Tumechoka sana yaan marefa wanaingia na matokeo uwanjani na kukataa...
Jamaa wanatengeneza makubaliano kuwa mwaka 2030 wakati Dr. Lameck Madelu Mwingulu Nchemba anakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bwana Ally Happi anakuwa Mbunge wa Iramba na anateuliwa kuwa Waziri.
Hiii ndio Sura (ufunuo) pekee katika Qur'an iliyopewa jina la mwanamke maalumu anayejulikana, ingawa ndani ya sura hii kumetajwa manabii wakubwa wakubwa kama vile Nabii Yahya, Zakaria, Ibrahim, Is-haq, Yaquub, Idriss, Ismail, n.k. Wote wametajwa ndani ya sura hii.
Kisa cha Bi Maryam katika...
Huu mkasa ulitokea kama miaka miwili imepita, dogo wangu alivyomaliza chuo akapata kazi shirika Moja binafsi, akafanya huko kama miaka minne akaanza mazoea ya kunipiga vizinga Tabia ambayo alikua Hana, nikapigwa vizinga weeee mpaka nikachoka, mawazo yakanijia huyu dogo kaajiriwa na Kuna kipindi...
Kutoka Kwa Zitto Kabwe,
Zitto kasema Kwa uwazi kua hati ya Muungano ya mwaka 1964 inatambua serikali ya Zanzibar, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano.
Sasa Kwa nini CCM imekua inafanya uongo miaka yote hii? Na wana maslahi gani na uongo wao huo wanaojifanya?
Ili muungano ueleweke...
Ili taifa letu la Tanzania lipate maendeleo kwenye nyanja zote lazima likuwe kiuchumi hadi ngazi ya uchumi wa juu.Bidhaa za vileo ni moja ya bidhaa zinazoongoza kwa kukuza pato la taifa kupitia kodi na leseni za biashara na taifa letu linajivunia kwasababu inachangia uchumi wa taifa, lakini kwa...
Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa...
Nina kijana wa miaka 17 wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.
Shuleni ni average sana...
VIONGOZI WA UMMA WALIOKO KATIKA ORODHA HII WAMEKIUKA NA/AU KUVUNJA MASHARTI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO
(KWA HISANI YA WEBSITE YA CHADEMA) kwa sasa tamko halipo .
http://www.chadema.or.tz/tamko/tamko.php?id=16&pg=110
KANUNI/ VIGEZO VILIVYOTUMIKA
A. USHIRIKI WA MOJA KWA MOJA KATIKA VITENDO...
Ndugu zangu Watanzania,
Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la kugusa hisia za watu na ambalo liliteka hisia za watu wengi sana mitandaoni na DUNIA nzima kwa ujumla...
Mkataba wa waarabu tunaoambiwa aliuingia hayat mwinyi kuhusu ngorongoro mpaka kupelekewa vifo machafuko Kati ya wamasai na jeshi la polis.
Mkataba wa dp wold kuhusu bandali za Tanganyika pasipo kugusa za visiwani zanzibar.
Mkataba wa muungano Tanganyika na Zanzibar unaleta...
Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.
Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
1. Maendeleo ya Kiuchumi: Kuunda mazingira wezeshi kwa ukuaji wa viwanda, kilimo cha kisasa, na biashara endelevu kwa lengo la kupunguza umaskini na kuongeza mapato ya wananchi.
2. Elimu Bora: Kuboresha mfumo wa elimu kwa kuzingatia teknolojia na mbinu za kisasa ili kuandaa vijana kwa soko la...
Mzuka wanajamvi!
Kila jamii duniani inaamini vitu flani hasi ama chanya.
Kwa mfano hapa Tanzania kuna watu ukiwapa pesa kwa mkono wa kushoto hawakubali, kujitawadha kwa mkono wa kulia siyo sahihi, kwenda dukani usiku kununua chumvi unatakiwa kuita dawa ya mboga, kufagia usiku siyo sahihi...
Tarehe 6 na 7 mwezi huu wa tano kulikuwa na mitihani ya mock Wilaya.
Wilaya ya Mvomero watoto walichangishwa 'rim papers 10' kwa kila mtihani kwenye uhalisia wa matumizi, ni mtihani moja tu wa hesabu ulitumia karatasi nne. Mitihani mingine ilitumia karatasi mbili.
Karatasi zilizo zidi...
Anonymous
Thread
elimu
hali
hii
michango
sekta
sekta ya elimu
wahusika
Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya.
Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo kabisa.
Pia tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa wanaume.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.