King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Sijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya Wanawake wenyewe. Hakika nimesawajika, nimeumia na chozi la furaha limenitoka. Hongereni Sana Sana...
Wanawake asili yenu ni kuwa na huruma na kujali, lakini imekua opposite hasa kwenye sekta ya mahusiano na mapenzi kwa ujumla.
Wanawake wa kipindi kile walikua wanawajali sana waume/wapenzi wao. Ukitoka kazini unakuta msosi umefunikwa kwa ungo lenye maneno matamu, hapo kuna maji ya moto...
Kweli hiki ni kiashirio cha usomi kukosa maana katika jamii!
Nimeenda pharmacy kununua dawa, nilipofika nyumbani kucheki kifungashio nakuta nembo ya usomi, UDSM.
Kila aliyepita pale UDSM anaifahamu.
Kutazama vizuri naona ni nakala ya cheti cha mtu, tena cha uhandisi nilikopitia mimi...
Kwa kawaida mabalozi hawaingilii mambo ya ndani ya nchi wanapowakilisha. Bila shaka ndio taratibu. Mambo ya vyama vya siasa ni mambo ya ndani ya nchi husika. Lakinini utasikia balozi wa marekani kukutana na kiongozi wa upinzani kwenye nchi anawakilisha hasa hizi za kiafrika zenye msimamo wa...
Uwezi kutegemea ubingwa Kama timu yako aina mwendelezo wa kupata matokeo, Leo timu inadroo kesho inapigwa keshokutwa inashinda!
Timu zinazocheza kibingwa zinapata matokeo ata zikiwa kwenye Hali ngumu kudondosha alama kibwege ni marufuku!
Sasa timu imekimbia kutumia chamazi kwamba auwapi matokeo...
Ni ukweli ulio wazi kuwa zinaa inaleta mikosi, inarudisha vijana nyuma kimaendeleo. Na kubwa zaidi ni kwamba zinaa ni dhambi ambayo imepelekea vijana wengi kufa wakiwa wabichi.
Uzinzi ukikomaa kwa kijana maisha yake huenda yasiwe marefu (sizungumzii vifo vya magonjwa ya zinaa hapa).
Kuna...
Huku nikiwa naendelea kufurahia vitu vya asili tulivyobarikiwa na Mungu pamoja na chakula kizuri, maisha ya watu wangu kiujumla ni magumu sana. Hakuna jitihada za makusudi za kuhakikisha watu wanaishi maisha yenye furaha.
Unajenga nyumba nzuri, unaweka mifumo ya maji, vyoo vya ku flash, AC...
Nchi wamejaa wanachi na viongozi lia lia wanasahau hakuna Maendeleo yanayo weza kuja Jasho , ukiwabana kidogo ili mapato mengi yaingie serikalini huwezi kueleweka , Hayati Benjamin mkapa aliwahi kusema..
"Napenda kuwakumbusha kuwa njia ya maendeleo imejaa jasho na vumbi. Tuzingatie utamaduni...
Wakuu habari za uzima na poleni kwa majukumu.
Najua wengi huwa tunafuatilia Tamthilia, maana nyingi hufundisha mambo yanayotokea katika jamii.
sasa mama watoto Huwa ninamuhadithia kuhusu tamthilia ya SIRI, na yeye huwa ananihadithia za Jua kali na zingine nyingi, sasahiv yupo na hii ya Azam...
Maana yake ni kuwa watu wanadhurumiwa haki zao kila mahala.
Polisi wanabambikia watu kesi, wanyonge wanadhurumiwa ardhi, bila kuwa na connection hupati kazi.
Hii ni tafsiri tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao.
Rais ajiuzulu na uchaguzi halali uitishwe
Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa.
Sina kachanga sina presha ni nini?
Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
Habari za muda huu waungwana.
Nina leseni ya udereva yenye madaraja A, A2, B, D, E, F & G. Je nitaweza kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber, Faras, nk kwa kutumia leseni yenye madaraja haya?
Natanguliza shukrani.
Ndugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake?
Nchi inaingia kwenye madeni makubwa sana hii lakini huku gharama za maisha zikizidi kupanda na asilimia kubwa ya wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.