hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 875
- 2,094
Wakuu kwema.
Hili suala ni la kawaida likitokea mara moja ila likijirudia rudia tunapata wasiwasi.
Imetokea kwa siku tano hadi leo navyotype kwamba nikipanda daladala konda haniombi nauli namimi napotezea , kuna muda nampa mwenyewe.
Kinachonishangaza zaidi napewa chenji iliyozidi nikienda kununua kitu, mfano kitu cha 1000, narudishiwa chenji 4000+, nk.
Namimi naamua kukaa nayo cozi nina shida na hela. Siku ya tano hii tangu haya yaanze kutokea.
Wakuu hii ina maana gani au iliwahi kuwatokea hata nyie. Na je kuna namna ya kuifanya situation iendelee