CRDB wanachukua hela zetu kwenye akaunti bila idhini yetu

TENGEFU

Senior Member
Jan 25, 2017
138
206
Kwa mara nyingine tena CRDB wameendelea na tabia yao ya ku draw hela kwenye akaunti za wateja bila idhini yao. Mimi ni mmojawapo niliyepokea ujumbe unaosema "Dear customer, TZS 10,446.43 has been drawn from account 0212 for queries call 0755197700, popote inatiki. Hii ni akaunti ya USD na mpaka sasa sijaambiwa hizo hela wamechukua za nini na kwanini.

CRDB huu mchezo wa kuiba hela zetu kijanja utawa cost rudisheni hela zetu na najua kuna watu wengi wanachezewa mchezo huu.
 
Umepiga simu mkuu?umeshaangalia statements zako za mwezi ukajua ni makato gani huwa unakatwa?banking is not free...usidhani ukiweka hela kwenye account utakuta kama zilivyo.
 
Mtoa mada wewe ni muongo sana na una lengo baya na benki ya crdb kwa kutoa taarifa za uongo. Yaani akaunti ni ya USD alafu umekatwa TShs hii wewe ulishaona wapi
 
Mtoa mada wewe ni muongo sana na una lengo baya na benki ya crdb kwa kutoa taarifa za uongo. Yaani akaunti ni ya USD alafu umekatwa TShs hii wewe ulishaona wapi
Tanzania kuna watu washamba sijawahi kuona kama wewe that's why hatuendelei kweli unakuja na ujumbe kama huu seriously??uliza hata kwa rafiki yako anayejua mambo ya hela basi
 
Mtoa mada wewe ni muongo sana na una lengo baya na benki ya crdb kwa kutoa taarifa za uongo. Yaani akaunti ni ya USD alafu umekatwa TShs hii wewe ulishaona wapi

Jamani sio uongi mimi nilifunga acc yangu ya dola pale mlimani wakati nafungua niliwaambia kwamba ninaishi nje ya nchi hivyo naomba mnifungulienniwe naweza kutoa pesa niliko huwezi kuamini nilipokuwepo kila nikitoa pesa inakata inanimbia wasiliana na makao makuu nikavumilia nikaedna kufika yule dada aliyenifungulia akawa anajiuma umama
Nimeenda kaunta nikaambiwa
Pesa hakuna nikawa mkali nataka kwenda kwa meneja yule dada akanipa kibarua akanimbia nenda nacho hapo dirishai sikuwa na mawazo ya kikufungua kufika yule
Kusoma akanipa pesa toka hapo nikafunga na acc kwa hiyo ni kweli waangalie staff wao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom