Mwanamke anayekupenda kikweli hawezi kukuomba hela

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
Mwanamke anayekupenda kikweli hawezi kukuomba hela ila yeye ndiye atakupa wewe. Atafanya kila awezavyo akutafutie vizawadi ili ujue anakupenda. Atatumia gharama zake mwenyewe.

Mwanamke anayekupenda anakutaka wewe tu kama ulivyo anakuhitaji tu wewe. uwepo wako kwake unatosha, hahitaji pesa yako. Ukiona mwanamke anataka sana pesa zako mpaka analalamika ujue huyo hakupendi ni mwanamke wa mtu mwingine huyo.

Tena hizo pesa ukimpatia anaenda kumgawia yule anayempenda kikweli.

Katafute wakwako, huyo sio wako.
 
Kwiayo Sasa mnataka mwanamke kuonyesha Mapenzi yake kwako..Akuhonge ...

Mkuu mwaname anaejielewa hapendi kulelewa... unless otherwise Wewe Ni Mario
yaani mwanaume unachakata alafu..unataka upewe elfu kumi ya Asante kuonesha unapendwa..

Hivi wanaume wanaisha au
 
Mkuu hivi umewahi kutana na wanawake wapenda pesa wewe
 
Mwanaume Rijali anaprovide kwakweli... Hatumaanishi Kwamba wanawake wasiwasaidie wanaume lahasha...kusaidiana kupo.

Lakini Wewe mleta mada hata kutoa hela y nauli TU ha bodaboda utaleta bandiko humu.. wanawake wanapenda pesa..

Nakuona Kama unatatizo either unatatizo la kifedha... Au unatatizo na mwanamke kupewa hela... Unaona Kama hatakiwi kupewa hiyo hela

Sisi sio ATM, tafuteni za kwenu
 
Back
Top Bottom