Nimeobserve hili swala, unakuta MTU amepiga bingo, labda kalipwa pensheni, au kashinda betting, au hustle zake zimemlipa pesa nyingi kidogo, watu wa pembeni wanaanza kusema, ahh flani kapata million 200, zile pesa zitaisha tu..
Kwamfano ikitokea umefilisika, watu wa karibu, especially marafiki, classmates, workmates etc wanaanza kukucheka, wanakukejeli na wanakukumbushia matumizi yako uliokua ukiyafanya kipindi una hela, ni kama wanafurahia ukiishiwa hela, nn kinasababisha hivyo..wakati wanajua pesa kuisha ni kitu natural kabisa..
Nawasilisha