Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

Njaa

JF-Expert Member
Dec 6, 2009
1,013
391
Wakuu!
Nina sarafu za kizamani za watawala mbali mbali...., kabla sijawa nazo niliambiwa ni dili sana. Leo nimezipata (angalia baadhi ya picha), hivi soko lipo wapi? Mwenye idea aje DM tuongee

Ujuaji sitaki
Karibu
Njaa
 
Attachments

  • Rupee1.jpg
    Rupee1.jpg
    140.3 KB · Views: 8
  • Rupee2.jpg
    Rupee2.jpg
    153.4 KB · Views: 5
  • Rupee3.jpg
    Rupee3.jpg
    134 KB · Views: 7
  • Rupee4.jpg
    Rupee4.jpg
    140.3 KB · Views: 10
Mkuu,Chukua kipande cha karatasi,andika neno JAMII FORUM kwenye hiyo karatasi,alafu chukua hizo sarafu zako weka pembeni ya hiyo karatasi neno JAMII FORUM likiwa linasomeka,Piga picha ututumie.
Sawa, unahisi nimedownload picha? Nakutumia zenye neno Jamii forum tena kwa wino wa peni muda si mrefu..., DM
 
Wakuu!
Nina sarafu za kizamani za watawala mbali mbali...., kabla sijawa nazo niliambiwa ni dili sana. Leo nimezipata (angalia baadhi ya picha), hivi soko lipo wapi? Mwenye idea aje DM tuongee

Ujuaji sitaki
Karibu
Njaa
Waganga wa kienyeji ndio walikuwa wakidanganya wafanyabiashara wakilipwa mamilioni wanasema sharti la wewe kuwa tajiri Lete rupia 100 za kijerumani wanajua hatapata na pesa yake imeeenda kiendacho.kwa mganga hakirudi Sasa hivi watu huo utapeli walishaacha

Hizo rupia Baki nazo mwenyewe
 
Kuna raia flani wamechimba shimo linalosadikika nila waherumani walifukia mizigo huko namendea mzigo ukitema na mm nizame lokota mali maana washachimba kwa zaidi ya miaka 10 hawajafika mwisho
 
Attachments

  • IMG-20231201-WA0018.jpg
    IMG-20231201-WA0018.jpg
    24.1 KB · Views: 8
  • IMG-20231201-WA0019.jpg
    IMG-20231201-WA0019.jpg
    15 KB · Views: 5
  • IMG-20231201-WA0015.jpg
    IMG-20231201-WA0015.jpg
    25.4 KB · Views: 3
  • IMG-20231201-WA0016.jpg
    IMG-20231201-WA0016.jpg
    28.6 KB · Views: 5
  • IMG-20231201-WA0017.jpg
    IMG-20231201-WA0017.jpg
    24.9 KB · Views: 6
Wakuu!
Nina sarafu za kizamani za watawala mbali mbali...., kabla sijawa nazo niliambiwa ni dili sana. Leo nimezipata (angalia baadhi ya picha), hivi soko lipo wapi? Mwenye idea aje DM tuongee

Ujuaji sitaki
Karibu
Njaa
Huu utapeli bado upo? kwa kifupi hizo pesa hazina kazu, ni utapeli wa kitambo sana,Walio kuwa wanazitafuta hizo peaa ndio hao hao walikuwa nazo yaani wanazitafuta then baadae wanajigeuza wanaanza kuuza tena sasa walio kuwa wanainhia kingi wanauziwa wanabakia nazi labda na wao baadae wajifunze utapeli na wao watafute wajinga wawakamatishe
 
Nenda ubalozi wa German .....kana zina deal utajua hapo hapo ....wengine matapeli
 
zIlizokua na deal ni zile FUFU MARK, na Ile Rupia yenye Simba wawili wanakwea kama mtende na ile yenye simba kanyoosha mkono mmoja juu.
 
Wakuu!
Nina sarafu za kizamani za watawala mbali mbali...., kabla sijawa nazo niliambiwa ni dili sana. Leo nimezipata (angalia baadhi ya picha), hivi soko lipo wapi? Mwenye idea aje DM tuongee

Ujuaji sitaki
Karibu
Njaa
Sina muda wakati huu naandika hii comment, nikipata muda ntarudi kutoa darasa fupi kwako na kwa wengine.

Ni vitu ambavyo vipo, mimi Binafsi nimevishuhudia kwa macho baadhi, ila vina mlolongo mrefu sana mpaka vigeuke vikakupe pesa!

Na mlongolongo wake mrefu ndo umefanya Mataperi wakaingia kati hapo, wale waliokurupuka wamepoteza Nyumba na pesa, hata sasa naandika kuna watu wanapoteza pesa na Nyumba...!

Mnachokosea mnakurupuka bila kwanza kupata Knowledge ya hicho unachokihangaikia, mwisho utapoteza pesa na muda wako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom